Branjames11, Sababu ndugu zako wa kitanzania ni wavivu wa kutafuta vyanzo vya matukio labda yawe sehemu ambayo ni rahisi sana kufika na sio wahangaikaji kutafuta habari kwani wamezoea habari za kuchakachua ambazo zilisha tengenezwa na wengine.
Unashangaa hii wewe subiri Hollywood watakavyoigiza move ya babu wakati akina Kanumba wapo tu jiji Dar, wanavinjari na dada zetu, huku wakijifanya mastaa wa move wakati ubunifu 'F'