Video Ya Gadafii akiuliwa

Video Ya Gadafii akiuliwa

Black Jesus

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2008
Posts
256
Reaction score
10
Walinzi zana nzito za kivita hazikuweza kumnusuru Gadafi

[video]www.youtube.com/watch?v=W0UE4m0b4b0[/video]
 
Lakini zambi hii ya unafiki lazima tu itawatafuna.... Yetu macho na maskio maana Wa magharibi na mashariki hawafungamani, pia wanaoonyeshwa kumpinga ni jamii ya wa Benghazi na si walibya wote..
 
Pamoja na ubaya ambao inasemekana kaufanya kwa waLibya, kuna mazuri mengi ambayo kayafanya na hakustahili kuuawa kinyama hivi!kuna siku watamkumbuka
 
angalia hii hapa ndio mbaya zaidi, tahadhari kabla haujafungua inatisha!

Last edited by a moderator:
Inasikitisha kwa kweli.
Inasikitisha nini? kwani aliokuwa anawauwa hawakuwa binadaamu? wewe hao vijana aliokuwa anawaita watoto alitegemea nini? kwa mtizamo wake finyu Gaddafi alitaka hata akina Ben ali na Mubaraka wafanye kama yeye, lakini wenzake walikuwa wajanja (haswa Ben Ali), sasa yeye ubishi wake na uroho wa madaraka ndiyo umemfikisha hapo, alipewa nafasi ya kukimbia, au kuachia madaraka alijifanya kichwa ngumu, et die matry!! Watu wanataka mabadiliko wewe unaleta gozigozi!! Nguvu ya watu kamwe haiwezi kuzuiwa!!
 
Pamoja na ubaya ambao inasemekana kaufanya kwa waLibya, kuna mazuri mengi ambayo kayafanya na hakustahili kuuawa kinyama hivi!kuna siku watamkumbuka
Wamkumbuke nini? kwa waliouliwa ndugu zao na huyu dikiteta wangependa akitokea wampige risasi kwa mara ya pili tena.Huwezi kudharau watu wanaomuamini Yesu then ukaendelea kuishi au kutawala, ni ngumu!!
 
Lakini zambi hii ya unafiki lazima tu itawatafuna.... Yetu macho na maskio maana Wa magharibi na mashariki hawafungamani, pia wanaoonyeshwa kumpinga ni jamii ya wa Benghazi na si walibya wote..
Unafiki gani? Kwa taarifa yako walibya wanakipaji cha akili na uelewa kuliko ninyi watanzania mlio na upeo mdogo, wao waliona kuwa wanahitaji kupiga kura kuchagua rais wanaye muhitaji, sasa eti wamkumbuke!! Alikuwa muuaji, alidhani vijana wanaouawa na majeshi yake ni panzi! Mie nimewafagilia walibya kwa maamuzi magumu!!
 
Ni kawaida kwa watawala kuhusishwa na mauaji hasa unapokuwa hutakiwi na wakubwa ie Marekani na NATO na n.k.
Hivi huko ulaya wao hawauwi au kwa vile ni wakubwa?Nawashangaaa sana wanao shangilia kifo kibaya cha Col.Gaddafi
ila ninachoamini mimi ni kuwa propaganda ni kitu kibaya sana!!!!!!!
 
Lakini zambi hii ya unafiki lazima tu itawatafuna.... Yetu macho na maskio maana Wa magharibi na mashariki hawafungamani, pia wanaoonyeshwa kumpinga ni jamii ya wa Benghazi na si walibya wote..

Alipokuwa anaua watoto wa wenzie napo vipi? Qisasu Haqu bana, au!
 
Mi naona malipo yake ndiyo kama alivyotendewa kabisa na bila shaka ni fundisho kwa viongozi wa Kiafrika wenye kung"ang"ania madaraka kama marehemu Gadafii
 
Wamkumbuke nini? kwa waliouliwa ndugu zao na huyu dikiteta wangependa akitokea wampige risasi kwa mara ya pili tena.Huwezi kudharau watu wanaomuamini Yesu then ukaendelea kuishi au kutawala, ni ngumu!!

Una uhakika gani kama waliomuua Gadafi wanamuamini Yesu. Acha ushabiki wa kishamba wewe. Hao nao ni wauaji tu kama wauaji wengine
 
Watu waote wanaoshabikia gadafi kuuwawa nadhani hawajui nini kinaendelea!gadafi ni mtu kama wewe, he was not perfect, hakuna raisi ambaye hajaua, na katika ukombozi na harakati zake lazima watu wafe hiyo ipo given, sacrife must be there bandugu, tunachojaribu kuangalia ni je, nato nia yao ni nini?kwa nini ni benghazi na sio serte,na je ni libya tu waliona kuna shida?kwanini ni ukanda wa watu wenye mambo sawa kimfanano?kwanini somalia hawaendi?kwa nini israel na parestina, je yanayotokea yemen hawayaoni??kwanini sadam alishukiwa kuwa na siraha za maangamizi na hawakuziona??je marekani wameua wangapi kuanzia afghanistan, iraq, kongo,sudan, namibia,hata misri wapo nyuma ya hawa vibaraka waliopandikizwa mbegu za chuki??marekani sio watu, uingereza sio haki!msimamo wa gadafi kukataa kuingia mkataba nao kuchimba mafuta, kukataa unyonyaji kwenye mikataba nchini kwake, kuonekana kuwa na nguvu sana barani afrika na kuwa na nia ya kutuunganisha waliona tutakuwa na nguvu ya maamuzi yetu,sio walibya wote wanaompinga gadafi ni kijisehem cha vibaraka wa magharibi! Na hii ni somalia mpya imetengenezwa afrika lengo ni kuona sisi sio wamoja ili wachume mali zetu zote!je watoto wetu wataishi vipi kama hali ndo hii??utumwa unarudi polepole watu wasio na maono wanashangalia kuuawawa kinyama kwa gadafi!ipo siku magahribi watajutia tabia zao ambazo tushazijua na libya watamkumbuka sana gadafi, kwanza walipe deni la nato alafu tuanzie hapo ndani ya mwaka utaona!mungu katupa akili tupamnanue mambo na sio kuchukulia mambo kijuujuu!!!!!!!!!!!!!!!
 
Waafrika tulikuwa watumwa back in the days(colonial era)na ukaisha, lakini Warabu wataendelea kutumiwa na kuwatumika wazungu milele pamoja na utajiri wao wa mafuta.
 
Back
Top Bottom