Video: Tujikumbushe Mbunge Maganga alivyokosa aibu na kutaka wabunge waongezewe mishahara na kuanza kulipwa kwa dola!

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,439
Reaction score
6,692
Wakuu,

Posho 620,000 kwa siku mshahara 18,000,000 still wanasema pesa ndogo na bado wanataka walipwe kwa dollars kweli alieshiba hamuoni mwenye njaa

Wakienda majimboni hakuna Kazi wanayofanya miundombinu ni mibovu, ajira hakuna tozo na kodi kubwa kila siku tunagombana na kina mangi madukani.

Hivi hawa wabunge huwa wanatumia nini kufikiri?

IMG-20250613-WA0001.jpg
 
View attachment 3367205
A bunch of fools! Kama vipi waache ubunge waje tuvue samaki.
 
Mimi ni mmoja wa wananchi ninaetika katika jimbo la huyo bwana maganga jimbo la mbogwe kiukweli wananchi wa jimbo la mbogwe tunasikitika sana KUWAKILISHWA na DARASA LA 7B huko bungeni tulifanya makosa makubwa sana kumuchagua
Tatizo la nchi hii ni rushwa na ushirikina
 
Mimi ni mmoja wa wananchi ninaetika katika jimbo la huyo bwana maganga jimbo la mbogwe kiukweli wananchi wa jimbo la mbogwe tunasikitika sana KUWAKILISHWA na DARASA LA 7B huko bungeni tulifanya makosa makubwa sana kumuchagua
Sio nyie tu, hao waliopo kwenye hilo jengo ni wajumbe wa sisiem wenye kazi ta kula tu pesa za umma....
 
Wakuu,

Posho 620,000 kwa siku mshahara 18,000,000 still wanasema pesa ndogo na bado wanataka walipwe kwa dollars kweli alieshiba hamuoni mwenye njaa

Wakienda majimboni hakuna Kazi wanayofanya miundombinu ni mibovu, ajira hakuna tozo na kodi kubwa kila siku tunagombana na kina mangi madukani.

Hivi hawa wabunge huwa wanatumia nini kufikiri?

View attachment 3367205
Na huyo ni PONJORO mwingine
Another PONJORO.
 
Back
Top Bottom