Video: Trump's reaction when Nurse says she lacks protective equipments

The Humble Dreamer

JF-Expert Member
Oct 12, 2015
7,442
10,233
Rais Donald Trump wa Marekani akiwa pamoja na Wataalamu wa Afya kuzungumzia hali ilivyo kuhusu janga la Corona nchini mwao na namna gani wataweza kushinda.

Huyo Nurse anayezungumza anaitwa Sophia L. Thomas ( President of the American Association of Nurse Practitioners)

Hoja: Umegundua nini kupitia hii video katika kupambana na janga la Corona?
👇👇👇👇👇
 
Back
Top Bottom