Nikadhani tutasikia hayo mazungumzo "live"! Hiyo sio video ya mazungumzo yao Kiongozi bali video ya "third party" akitaarifu kulikuwa na mazungumzo.Nimeiweka tayari!
Ha ha ha ha inawezekana aiseeeePutin anamwambia Trump endelea kuwakoroga hao wamarekani mpaka watie adabu
Trump hahaaaaaa Putin bwana hilo hata usijali nataka niwafanye
wamarekani wachukiwe dunia nzima
Putin si wameshakupa namba za siri za makombora ya nyuklia?
Trump ndiyo nataka siku moja nikiamka na hasira niyavurumishie saudi arabia
Putin safi sana hao ndiyo viherhere wa kufadhili magaidi
Trump ndiyo hivyo nina hasira sana na hao watu
Putin sawa usiniangushe na mimi
niko nadili na hawa vibaraka wa ulaya
Trump sawa mkubwa nakuaminia sana
Putin poa poa!
Kuna kitu kimejificha ambacho hatufahamu.. Trump ni mzee wa ukweli na uwazi naamini tutajua kila jambo nyuma ya pazia kati ya Urusi na USANimeamini rais wa nchi ndio kila kitu kuhusu nchi husika. Mida hii angekuwa rais Mama Clinton, basi USA ingekuwa na bifu na Urusi. Nakumbuka kipindi cha kampeni jinsi madam alivyoonyesha chuki ya wazi kwa Putin!
Mimi namini Trump na Putin kama wanashare interest siyo kwa mabaya, Namini kuna vitu wanaviamni ambavyo vinafanana tofauti na Clinton na Putin. Ni mtazamo wangu binafsiKuna kitu kimejificha ambacho hatufahamu.. Trump ni mzee wa ukweli na uwazi naamini tutajua kila jambo nyuma ya pazia kati ua Urusi na USA
Putin anamwambia Trump endelea kuwakoroga hao wamarekani mpaka watie adabu