hurrem_sultana
Senior Member
- Sep 6, 2018
- 136
- 361
Hata kuja hapa ni moja ya jitahada tena kubwa sana kwasababu pana mkusanyiko mkubwa na unaweza kukuta hata wenye kampuni kama hizo wapo humu humuFanya jitihada zako ujue hiyo ABC ili hapa angalau upewe DEFJ... Maana usiombe unashauriwa afu huna pakucompare huwezi jua upi mchele ipi ni pumba..!
Asante sana mkuu hakika wewe ni mtu mwema,vipi biashara lakini ina return nzuri?1. camera nzuri za video , kwa kuanzia angalau 2.. canon 5d mark 4 zinatumika sana na wengi
2. light kit, taa za video za kutosha.. kuna ring right, led light, kubwa na ndogo za kufungwa kwenye camera
3. computer nzuri ya kuediti kazi.. wengi wanatumia mac, zenye ram kubwa not less than 8gb, processor kubwa ya kisasa, etc
4. flat screens angalau 2 za kuanzia na projector 2 zenye lumens kubwa.. not less than 3500 lumens.. ukumbini kwenye masherehe lazima uwe na video displays kubwa kuonesha tukio
5. eneo au ofisi ya kufanyia indoor shoot, iwe ya video au kupigia picha.
6. camera za kupigia picha angalau 2, wengi wanatumia nikon full frame yeyote inafaa
7. vikorombwezo vya camera ya picha, kama speedlights, lenz za size tofauti tofauti, etc
kwa kuanzia ni hayo tu... mengine ni knowledge kubwa sana ya kushoot na kuedit picha na video
hivyo ndivyo nilianza navyo.. na ndivyo muhimu sana.. vingine nakuwa nakodi tu nikiwa na kazi yenye mahitaji makubwa
by ceo wa mobile studio mabibo hostel (@photo_studio_mabibo_hostel) • Instagram photos and videos
Asante sana mkuu hakika wewe ni mtu mwema,vipi biashara lakini ina return nzuri?
Asante sana lazima niandae mipango makini ya kujitangaza na kupata kazi nyingi haswa za wachagga.biashara zote duniani zinalipa.. tofauti ni mbinu zako tu kupata wateja,,, kuna watu wanatajirika kwa boda boda na kuna watu wanafilisika
Asante sana lazima niandae mipango makini ya kujitangaza na kupata kazi nyingi haswa za wachagga.
Naomba nikuulize one more question mkuu,kwa uliyonitajia hapo at least niwe na kiwango gani cha kuanzia na kubuy hayo mahitaji yote ya kuanzia?
Roughly approximation
Asante kwa mengine nitakuchek pmmilion 15 hadi 20
Asante kwa mengine nitakuchek pm
Sawa mr. nitakuhitaji sana kwenye kuiandaa business plan yangu usinichokee mkuu[emoji23]karibu japo hapa hapa ndio pazuri kwa faida ya wengi.. pm sio nzuri
Achana na CAMCORDER dunia ipo kwenye DSLR
Vip mkuu ushawahi kuifanya?Achana na CAMCORDER dunia ipo kwenye DSLR
Asante kwa tips mkuuNaipenda hii biashara,muhimu ubunifu na uaminifu kwa vijana wako utakaokuwa nao ila ina return nzuri,mbali na hvyo kuwa na vifaa bora vya kazi
Katika sehemu nilipokuja kujua hujui lolote kwenye hii tasnia ni kwenye hiki ulichoandika hapa. Kha...so sadkutumia hizo camera niliacha muda... now days ni dslr au miror less camera.
hizo camcoder quality yake ya kizamani sana.. na lenz zake hazina flexibility kama dslr.
kama upo serious unataka quality work nunua canon 5d mark 3 au mark 4.
Katika sehemu nilipokuja kujua hujui lolote kwenye hii tasnia ni kwenye hiki ulichoandika hapa. Kha...so sad
Unasema camcoder quality ya zamani? Hiiiiiii, hv izo tv tunazoangalia kila siku studio wanatumia dslr? [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza DSLR tunatumia kwenye matukio mafupi mafupi kama ku shoot movie za kibongo, muziki nk kwakuwa dslr hata iyo 5d mark 4 haina clip ya lisaa limoja mfululizo, dslr zinachemka, clip zina time limit, not flexible on handling kwa matukio ya ku move na nyingi zina focus struggle
Camcoder ndio maalumu kwa video, ina fast focus, inaweza shoot hata masaa matatu mfululizo bila ku heat wala kuwa na limitation. Sasa kachukue DSLR yako sijui Mark IV kashoot harus kanisani kisha uende nayo ukumbini pia ukashuti masaa manne. Kama hutopigwa mawe na wenye mkanda kwa kumis matukio.
Ushauri wangu kwa muuliza swali
Tafta Camcoder kwa kazi kubwa. Na zina uwezi wa video kuliko dslr. Tafuta DSLR kwaajili ya short shooting, photos in and out doors, movies zenye script, au matukio yenye script, lakini sio mengineyo. Sio non stop or continuous events