VIDEO: pray For Russia.

VIDEO: pray For Russia.

Kupata vibwenzo hivyo tubonyeze ngapi?
 
Putini ameona asife peke yake anaamua kwenda kuwaulisha na wenzake
 
hii video imeniumiza sana Moyo sjui kwa nini.

raia wa russia akiuvunja mguu wa rafiki yake alieitwa kwenye putin Mob. ili kuepuka kwenda Ukraine.

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]



Ni tahira kama wengine!! kama kila mtu angefanya hivi hata wa Ukraine wasingekua vitani!! ni zuzu pekee ndo anaweza ezuliwa na hii propaganda
 
Back
Top Bottom