Tulia ni Dr wa kusomea kabisa. Kafanya kazi UD kama Professor kabla ya kwenda bungeni. Kawa mbunge wa kuteuliwa, mbunge wa kugombea na sasa ni Spika. Mme wake ni Director wa taasisi fulani. Nini cha ajabu hapo kumiliko hiyo nyumba? Mnataka mtu afanye kazi afu aishi kwenye nyumba ya nyasi?
Hiyo ni nyumba ya serikali kwa ajili ya spika, nilishawahi kuingia mwaka 2011 wakati imekamilika kujengwa lakini spika alikuwa hajahamia, nikaja kuingia tena wakati anakaa spika Anna. Mara zote hizo niliingia kama mtalii tuu.
Sio nyumba yake binsfsi japo anaweza kuwa na zaidi ya hiyo...ni nyumba ya spika wa bunge .ni makazi ya kila spika atakae chaguliwa kabla na hata baada ya huyu.... Sijui kama nimetumia kiswahili sahihi .
mwamba hako ni kahekalu kadogo sana kwa mwanasiasa,
hususani member of paliamenti tena mweshimiwa sabufa kama huamini nenda kwa sieijii
kama PROF Assad akuambie matumizi ya mzee Ndugai kwenda chek up mambele one trip unajenga hiyo na chenji unanunulia range new model na yeye alienda trip 10 per year this is Afrika blood.