DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Ndugu wa aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Malawi na Cuba 'aliyetekwa' takribani miezi mitatu iliyopita leo, Jumanne Januari 06.20226 wamefanya maombi kwenye nyumba aliyokuwa akiishi mpendwa wao wakimuomba Mwenyezi Mungu amlinde mpendwa wao huko aliko na arejeshwe akiwa salama salmini
Ndugu hao wakiongozwa na mama mzazi wa Humphrey Polepole, Mama Anna Marry Polepole na mdogo wake Godfrey Polepole wamefika nyumbani hapo Tanzanite Street, Ununio -Bahari Beach, Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam kwaajili ya kuhamisha vitu vya Humphrey Polepole.
Pia Soma: Video: Ndugu wa Humphrey Polepole wafika kwenye nyumba 'aliyotekwa' kuhamisha vitu