VIDEO: Msikilize Mbowe akimjibu Mtulia

Hahaaha mtulia tuachie chama chetu
 
Kama kauli hii ni ya Mh Mbowe, basi kweli tuko zama za Pindua Pindua. Tumetoka kuwa na upinzani imara lakini serikali dhaifu sasa tuna upinzani dhaifu ila serikali imara.
 
Ahadi ya Mtulia: Nampenda... Balaaaaaaaa![emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Hahahaha anampenda balaaaa dah aisee siku hizi kuna upunga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…