Mkuu kwani mondi kipindi anaimba mbagala alikuwaje na hilo domo [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Naona kaja vyema safari hii
Kuja vema ni kweli ila tatizo ana mianya meno yote afu hilo doomoo kama bakuli la supu. NILIJUA TU atatoboa na domo lake
Kuja vema ni kweli ila tatizo ana mianya meno yote afu hilo doomoo kama bakuli la supu. NILIJUA TU atatoboa na domo lake
nyota ya bomberdia harmo Best rapperwalimchukulia poa kumbe dogo ana nyota yake flani hivi
Kamuumba binadamu?Kuja vema ni kweli ila tatizo ana mianya meno yote afu hilo doomoo kama bakuli la supu. NILIJUA TU atatoboa na domo lake
Kuja vema ni kweli ila tatizo ana mianya meno yote afu hilo doomoo kama bakuli la supu. NILIJUA TU atatoboa na domo lake
We me au ke?Teh teh...Harmorapa now anasikika kuliko hata harmonize..
Kuja vema ni kweli ila tatizo ana mianya meno yote afu hilo doomoo kama bakuli la supu. NILIJUA TU atatoboa na domo lake
mkuu hizo enzi unazoziongelea ww zilishapita......muziki unaovuma ss hvi ni ule unaosikilizika vizuri masikioni haijalishi ajenda wala nini......Nini theme ya wimbo,nimskia misonyo na kujisifusifu..ndio nyimbo za kibongo bongo huwa hata burundi tu hapo hazfiki....imbeni ajenda za kimataifa ili muwe wa kimataifa....wimbo unamuimba mwenziwe...wasanii wakimbongo bna!!!
Usjidiganye ww,zimepita wapi hio nyimbo itaskilizwa locally kwani imeishia kuwasema watu wa hapahapa,ameacha kuimba vitu vya kueleweka....bado sana ndio maana msic wetu hatuvuki mipaka ya nchi yetu kwa sabb yuko so local and narrowmkuu hizo enzi unazoziongelea ww zilishapita......muziki unaovuma ss hvi ni ule unaosikilizika vizuri masikioni haijalishi ajenda wala nini......
mfano watu wanasikiliza hadi miziki ya kikongo lakini hawaelewi agenda yyte na bado wanaenjoy good music....go hamorapa go
Hujafa ujaumbikaKuja vema ni kweli ila tatizo ana mianya meno yote afu hilo doomoo kama bakuli la supu. NILIJUA TU atatoboa na domo lake