iko hewani mkuu inapepea taratibuSasa hiyo ndege imeganda ua inaruka? Mbona kama imetulia tu?
kweli mkuuNdege huwa inapita pembeni mwa Mulima,
mkuu watu wanakula maishaTruly stunning. Ngoja nizichange siku moja nikafanye utaliii wa namna hiyo
Hahaa ndege inapepea.iko hewani mkuu inapepea taratibu
ndio mkuu kama uliskia kilele cha kibo na mawenzi viko hapoDaa nimeipenda sana, hv wanaopanda hadi kileleni huwa wanafika hapo juu kabisa??
ha ha ha mkuu inakula neema za angani taratibuHahaa ndege inapepea.
mkuu tunashangaa maajabu na uumbaji uliotukuka wa MunguSo what??????
Safi sana, naamini ipo siku nitapanda mlima huu.....ndio mkuu kama uliskia kilele cha kibo na mawenzi viko hapo