VIDEO: Mh. Msigwa (tuendelee ama tusiendelee)

VIDEO: Mh. Msigwa (tuendelee ama tusiendelee)

kama hali ni hii. 2015, ni kujiepusha na uchakachuaji maana patachimbika!
 
Popooooooooooooooooooooooz!...............................................Bawa!
 
Huwa nalipenda jukwaa la CDM, halina mbwembe kama kaburi ambapo haliitaji flat screen, hata ukiwa bilionea, tofauti na wenzetu ambapo hukodisha na kulipamba kwa mbwembe nyingi ili kuwavutia watu, pia Komba na Bendi yake wasije wakatumbukia sababu ya uzito.
 
Tuendeleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
naomba mungu atupe uhai mpk 2015 ili nione wewe na lukosi kama mtaendelea kujibu kila uzi wa cdm kwa dharau na kejeli kwa kasi na hali kama hii mliyonayo leo 25/05/2013-15



Inshallaah
 
Popooooooooooooooooooooooz!...............................................Bawa!

CCM kama wewe wana Kiranga cha kila kitu, hata huo ushenzi wa "popoooo mbawa" unaoutaja. MAGAMBA huwa hwaachi kitu kwa sababu ya laana
 
naomba mungu atupe uhai mpk 2015 ili nione wewe na lukosi kama mtaendelea kujibu kila uzi wa cdm kwa dharau na kejeli kwa kasi na hali kama hii mliyonayo leo 25/05/2013-15Inshallaah

Asikuumize kichwa huyu, hana lolote, anaiga watu kama Chemical Ally (waziri wa Iraq) aliewachimba biti wamarekani halafu akanyongwa kama paka.
 
Endelea kuota.
unikumbuke baadaya 2015, na kipindi hiki mkichakachua tunawapiga mawe kama vibaka tunavyo wafanya vibaka wengine, watu waanze kupumua. mmetuchosha vya kutosha
 
tunajivunia nguvu ya uma

Misri mshikaji alitia adabu kwa staili hiyo.

Ukiona mlangoni mwa mtu kaandika MBWA MKALI nawe usiamini maneno hayo basi pita akikung'ata ndio utagundua kuwa kweli ni mkali na hukupaswa kudharau maneno ya mwandishi mlangoni.
 
Back
Top Bottom