VIDEO - Mashoga Milioni 3 Waandamana Brazili Kudai Haki Zao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

VIDEO - Mashoga Milioni 3 Waandamana Brazili Kudai Haki Zao

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Jun 8, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  <table style="width: 471px;" align="center" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr><td style="width: 506px; padding-left: 7px; padding-right: 7px;"><table style="width: 491px; height: 277px;" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr><td colspan="3" style="padding-left: 10px; padding-top: 5px; width: 491px;">
  </td> </tr> <tr style="background-color: rgb(225, 225, 225); padding-top: 10px;"> <td style="width: 250px; padding-left: 5px; padding-bottom: 5px; padding-top: 5px;" valign="top">
  [​IMG]
  </td> <td style="padding-left: 10px; width: 316px;" valign="top"> Monday, June 07, 2010 3:16 AM
  Mashoga na wasagaji milioni 3 wanaandamana mjini Sao Paulo nchini Brazili kudai haki zao za kutambulika na kukubalika katika jamii.</td> </tr> <tr> <td colspan="3" style="vertical-align: top; width: 491px;"> Mamilioni ya wanawake wasagaji na wanaume mashoga wanaandamana kwenye mitaa maarufu ya Sao Paulo Brazili kudai haki zao.

  Wakiwa wamevalia nguo za rangi mbalimbali, mashoga na wasagaji wanaandamana kulaani watu wanaopinga uhusiano wa jinsia moja.

  Waandamanaji hao pia wanataka mashoga na wasagaji wasitengwe katika jamii na wapewe haki sawa na watu wengine.

  Mwaka jana pekee, jumla ya mashoga 198 waliuliwa nchini Brazili na watu ambao wanapinga mahusiano ya kimapenzi baina ya watu wa jinsia moja.

  Waandaaji wa maandamano hayo wanakadiria jumla ya mashoga na wasagaji milioni 3.2 wamehudhuria maandamano hayo ambayo yamegeuka kuwa kivutio cha watalii.

  Maandamano ya mwaka huu yamedhaminiwa na kampuni ya mafuta ya Petrobras inayomilikiwa na serikali.

  Chini ni VIDEO ya maandamano hayo</td> </tr> <tr> <td colspan="3" style="vertical-align: top; text-align: center; width: 491px;">
  </td> </tr> <tr> <td colspan="3" style="vertical-align: top; width: 491px;">

  VIDEO - Mashoga Milioni 3 Waandamana Brazili
  <object width="480" height="385">


  <embed src="http://www.youtube.com/v/Sk7S_1zNxQI&hl=en_US&fs=1&rel=0" type="application/x-shockwave-flash" allowscriptaccess="always" allowfullscreen="true" width="480" height="385"></object>

  </td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td style="width: 506px;" height="15"> <table style="width: 488px;" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"> <tbody><tr> <td style="width: 429px;">
  </td> <td style="width: 249px;">
  </td> </tr> </tbody></table> </td> </tr> <tr> <td style="width: 506px;" height="30"> Naomba Mungu Yasitokee hapa kwetu kama hayo yaliyotokea Brazil Ameen.
  </td></tr></tbody></table>
   
Loading...