OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,102
- 114,697
Mweyekiti wa Wanawake Tabora akimwagia sifa rais wetu mbele ya Mama Janeth
Mama katoa ushuuda kuwa mambo sio mambo.Sasa sisi inatuhusu nini?? Hayo ni matatizo ya na mme wake
wewe na kina nani? jizungumze peke yakoSasa sisi inatuhusu nini?? Hayo ni matatizo ya na mme wake
Una uhakika gani niko mwenyewe?? Mimi na wote walio nizunguka!wewe na kina nani? jizungumze peke yako
Hahahahah huyu mama anavumilia mengi sana.... Kwa muda alotengana na Sizonje naona alipiga hatua sana ila sasa anarejea nyuma...Mkanye mwananchi
Kuna wakati walitengana?Hahahahah huyu mama anavumilia mengi sana.... Kwa muda alotengana na Sizonje naona alipiga hatua sana ila sasa anarejea nyuma...
Msukuma anaweza kuwa kapingwa pingu lakini akakwambia ''Nduhu Tabu''mtanzania muogope sana anakuambia swalamaaa wakat you dhohof ilhali bado safari ni ndefu kujitowa ufaham ni raa sana
Amehema sana , sijui amewaza nini?Nadhani aliposikia hilo jina kakumbuka jambo baya sana.Nahisi mama hatamani hata kurudi tena pale magogoni.Angekuwa na uwezo angepiga ziara mpaka 2020 ndio arejee kukutana na Sizonje.
Hii video imenifikirisha sana ,huyu mama hana furaha kabisa akisikia jina la mumewe linatajwa