Waangalie waandamanaji hawa hapa.Ni waarabu wanaandamana huko Tel Aviv au akina nani hao?
Ni waarabu wanaandamana huko Tel Aviv au akina nani hao?
Ni waarabu wanaandamana huko Tel Aviv au akina nani hao?
Yaani wanaoandamana ili Palestina ipate huduma za kibinadamu, wana laana tena?Zionists wana laana. Kamwe hawatopata amani.
Wana kichaa cha damu, wataendelea kuua na kuua mpaka ulimwengu utakapowageuka.
Waislamu Wenzio wa Jerusalem wanadundanaWanaukumbi
USIKU WA (02/03/2025): Katika kujibu hatua za sasa za serikali ya Israeli, waandamanaji huko Tel Aviv wanadai kurejeshwa kwa msaada wa kibinadamu kwa Gaza na kusitishwa kwa mauaji ya kimbari dhidi ya watu wa Palestina.
View: https://x.com/againstwarvoice/status/1896319241952833818?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Propaganda Uchwara ambazo hazitawasaidia chochote kile!!!Wanaukumbi
USIKU WA (02/03/2025): Katika kujibu hatua za sasa za serikali ya Israeli, waandamanaji huko Tel Aviv wanadai kurejeshwa kwa msaada wa kibinadamu kwa Gaza na kusitishwa kwa mauaji ya kimbari dhidi ya watu wa Palestina.
View: https://x.com/againstwarvoice/status/1896319241952833818?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Jibu swali acha kuruka ruka kama maharage jikoni!!!!Waangalie waandamanaji hawa hapa.
View: https://x.com/qudsnen/status/1896572971046883627?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Hapo ndipo ujue Israel kuna uhuru wa kuabudu wewe zwazwa!!!