VIDEO: Maalim Seif ''CCM mutaitoa nchi mutake musitake''

VIDEO: Maalim Seif ''CCM mutaitoa nchi mutake musitake''

knock knock

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2018
Posts
326
Reaction score
384

Akiwa katika ziara maalum Kisiwani Pemba Katibu MKuu wa chama cha Wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad amefanya mkutano wa ndani na kuongea na Wanawake na wajasiriamali JUKECUF ikiwa ni pamoja na kupokea wanachama wapya ambao wamejiunga na Chama cha Wananchi CUF.

Na: Mwandishi wetu.
 
Kwa nini maalim seif asiwe baba wa taifa la jamuhuri ya watu wa zanzibar? ni kiongozi mwenye heshima kubwa kwa wazanzibari ambao siku zote humuunga mkono na hakuna ata dalili wazanzibari kumuacha mkono
 
Watu wapole kama hawa ati walipelekewa Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) kuwaadhibu kwa ajili ya haki yao ya msingi ya kupenda chama cha siasa wanachokipenda,....Bado wapemba wanamkumbuka Mkapa hawata msahau milele
 
Akiwa katika ziara maalum Kisiwani Pemba Katibu MKuu wa chama cha Wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad amefanya mkutano wa ndani na kuongea na Wanawake na wajasiriamali JUKECUF ikiwa ni pamoja na kupokea wanachama wapya ambao wamejiunga na Chama cha Wananchi CUF.

Na: Mwandishi wetu.

Seif anafanya wafuasi wake kama mazuzu
Hata mttoto wa miaka 7 ukimdanganya kila siku atagundua tu janja yako
Huyu sefu mara aseme jini ameshapanda bado kutaja jina tu,mara aseme wiki ijayo anapewa nchi mpaka leo miaka mitatu hakuna dalili za urais wa mezani,lakini mazuzu yanamkubalia tu
 
Hahahahahahahahaha
Maalim seif anasema ccm wachekwe haha haha aha haha
Huyu jamaa kumbe akiwa kwenye jukwaa ni mtamu sana
Zanzibar ndio Siasa, uku Tanganyika siasa ni ndoto ukimtaka mwanachama unamtishia au salama yake apokee hela ajiunge kwako mbele ya vyombo vya habari. Maalim seif husimama kwenye jukwaa akamwaga vitu watu wanamiminika wanachukua kadi bila shuruti bila kutumia mabavu. Ni safi sana kwakweli
 
SEIF UTAITOA WEWE NCHI NA SI CCM KAMA UNAVYOFIKIRI.
 
Seif anafanya wafuasi wake kama mazuzu
Hata mttoto wa miaka 7 ukimdanganya kila siku atagundua tu janja yako
Huyu sefu mara aseme jini ameshapanda bado kutaja jina tu,mara aseme wiki ijayo anapewa nchi mpaka leo miaka mitatu hakuna dalili za urais wa mezani,lakini mazuzu yanamkubalia tu
Mkuu wenyewe wanampenda,yeye hatumiii mabavu na vitisho,anawapiga CCM kwa vicheko tu,...hebu na wewe tukucheke kidogo hahahahahaaaaaaaaaa
 
Lipumba ana ccm watu wako kwa seif na 2020 seif anachukua fomu kupitia chadema Zanzibar.
 
Umenena kweli mkuu...huyu alimsaliti Aboud Jumbe kwa kutoa siri kwa Nyerere hata haaminiki huyu na Nyerere kashasema msimpe urais Maalim maana Nyerere anajua uzaifu wake
Tukucheke na wewe kidogo hahahahahaaaaaa hahahaaa hahahaaaaaaa
 
Umenena kweli mkuu...huyu alimsaliti Aboud Jumbe kwa kutoa siri kwa Nyerere hata haaminiki huyu na Nyerere kashasema msimpe urais Maalim maana Nyerere anajua uzaifu wake

Uchekwe kidogo Hahahahahaha hahahaahahaha
 
Back
Top Bottom