Ni kwamba zinawekwa ferry tatu (3) tu ndefu na zenye milango mirefu ya kufunguka ambapo zinagusana mwanzo hadi mwisho na hivyo kutengeneza barabara inayoelea baharini. Na ikitokea meli inataka kupita pantoni la katikayi linajikata na kupisha meli kisha inarudi mahala pake. Picha hapo chini ina...