Mbona inaanza na Chinese Great Wall? Anyway, hiyo resort inayozungumziwa hapo ni kama Mar-a-Lago, private home ya Trump huko FL kati ya resorts nyingi za kifahari alizo nazo. Just Google "Mar-a-Lago" utaiona. So, waache ushamba; ni vitu vya kawaida sana kwa wengine.