Video: Inasemekana Wimbo wa Rubby uitwao Na Yule ndo umekubalika sana Italy

Ku fall kwa Rubby na ku rise kwa Nandy...ukileta za kuleta unazimwa kama taa
 
Hajulikani mwenye tatizo hamna aliyewahu kusena hadharani mwenzake alimkosea nini zaidi ya mastory ya town na post za ruby za kiwatupia vijembe...
Sijasema kuandikiwa ni tatizo hata nandy anaandikiwa nyimbo zote, ben paul moyo mashine kaandikiwa ila nilichosema ukikorofishaba na mtu kuna mambo aliyokuwa anakufanyia hawezi kuendelea kukufanyia so ruby atafute mwandishi mwingine wa mashairi na melody nzuri.
 
Tatizo la Ruby siyo kuandikiwa nyimbo. Ruby alichafuliwa image yake kwenye jamii na wale wanaosema kataa kuwa kaa kwa kutumia media yao. Kwa sababu wao wanauwezo basi walitumia hiyo kama fimbo ya kumwadhibu kwa kumuharibia image. Kutumia pesa kulipa watu kwenye mitandao kwaajili ya kuharibu image ya mtu. Hii ni kazi ya kaa.
Ruby kaharibiwa image yake na wengi walipitiwa na mkumbo huo. Na kuanza kumtukana mtoto wa watu bila sababu
 
Kwani ni lazima nyimbo zake kupigwa clouds?
 
Reactions: 7ve
Walimchafuaje mkuu?
Sijawahi sikia wanamuongelea zaidi ya kutopiga kazi zake labda unihabarishe huenda sijaskia..
Ruby mbona niliona anafanyiwa interview itv, eatv, efm anazindua nyimbo sasa kama na hao hawazipigi kosa la nani?
Last time alikuwa eatv the itv akazindua wimbo wake wa singeri zaidi ya siku hiyo sijawahi kuuskua tena
 
Reactions: 7ve
Kwahiyo clouds waliingia kwenye account ya insta ya Ruby wakaandika maneno ya kijikashfu wenyewe?
 
Mbona nyimbo nyng za kibongo znapgwa mbele Swizz beat kacheza nyimbo nyng
 
ruby mashine
 
Ruby yuko vizuri waache kuwa kama kaa kumshusha kwa nguvu.
wale jamaa wa kaa wachawi sana, wanasahau walivyo mfanyie JD na sama Mau kisa kagoma kutumika kudhulumiwa. Sugu aliwaweza na kinega yake mpaka Ruge akaomba poo !
 
Hao jamaa wa kaa ni Mh. Sugu tu ndo aliwaweza kwa ku mobilize wale wote waliokuwa wanaonewa Clouds, 'vinega' !
Hiyo kitu ilimtisha sana Ruge. Akaomba poa !
Kifupi Ruge ana roho mbaya !
 
Mpaka uwe mtu wa insta. ndo utajua
 
Ruge anakufitinisha na wanao kupa support. Kama kuna pruducer au studio inakubeba, basi wanawabania kazi zao zote au kuwashauri wamteme.
Ruge alipogombana na jay d, jay d alikuwa anafanya kazi wa man walter, bado man walter alikuwa anafanya kazi na ommy dimpoz kama tupogo, baadae, ule wimbo wa ommy na vanessa zote man walter na bado clouds walizipiga bila kujali ndiyo producer wa jay d.
Hata sasa man walter ni producer wa alikiba na nyimbo za alikiba zinapigwa japokuwa alikiba alikuwa yuko chini ya management moja na jay d.
Sometimes mziki na mashabiki wanamkataa mtu tu, amini hajawahi gombana na clouds, kawaabdikia wasanii kibao nyimbo na zimehit ila yete siku hizi kaisha au unataka kusema naye anabaniwa? Au hajui kuimba?
 
Tulia wakati unaandika !
 
Ndio hayo tunayoyasema. Nandy hawezi kumkaribia hata kidogo Ruby. Tatizo kuna wachache wameshikilia mziki wanafanya juu chini kumshusha mtoto wa watu huku kwenye public wakihubiri kataa kuwa kaa. Huu ni uhuni.
Nakubaliana Na Wewe

Na Hilo Ni Tatizo Kubwa Katika Mziki Wa Kibongo Na Ndio Maana Kila Siku Wasanii Wetu Ni Wawili Tuu( ○○○● )

Tuwaige Wa Nigeria Wenzetu Wana Wasanii Zaidi Ya 10 Ambao Wanajulikana Kimataifa Sisi Tumekalia Ushabiki Mbuzi
 
Hao jamaa wa kaa ni Mh. Sugu tu ndo aliwaweza kwa ku mobilize wale wote waliokuwa wanaonewa Clouds, 'vinega' !
Hiyo kitu ilimtisha sana Ruge. Akaomba poa !
Kifupi Ruge ana roho mbaya !
Halafu hukumalizia baada ya hapo sugu akawafanyaje wenzake?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…