The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Mitandao warriors mbona hawaonekani hapa Kisutu. Erythrocyte mko maeneo gani mbona hamuonekani Kisutu au mko online?Ulinzi umeendelea kuimarishwa na Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kuzunguka makutano yote yanayoingilia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam ambako kuna kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu.
Katika kesi hiyo inayosikilizwa leo, waandishi wa habari wamepigwa marufuku kusogea mahakamani hapo.
Katika eneo hilo la Mahakama, polisi waliovaa sare na wasio na sare wapo ndani ya magari wakifanya doria huku wakiwa wameshikilia silaha mbalimbali zikiwamo bunduki na virungu.
Mahakamani hapa leo Jumatatu, Aprili 28, 2025 kesi ya kuchapisha taarifa za uongo mitandaoni inayomkabili Lissu itaendelea kunguruma, mawakili wa pande zote wanatarajiwa kuchuana kwa hoja, kuhusu kuendeshwa kwa njia ya mtandao.
Ulinzi huo ni sawa na uliokuwa Alhamisi ya Aprili 24, 2025 wakati kesi hiyo pamoja na ile ya uhaini zinazomkabili Lissu zilipoitwa kwa hatua mbalimbali.
Polisi walitanda maeneo ya Mahakama kuzuia wasohusika kuingia.
View attachment 3318505
Ukiwa na akili ndogo unaweza kufurahia...ila.mnachezeshwa ngoma amabayo hamuijui. Kesi unazuia hadi waandishi wa habari...hahaha CCM ni waoga sanaWafuasi wa kibwetere hawajafika...
Aldolf Hitler yeye alipata kusema """KUNA WATU AMBAO AKILI ZAO HAZIFANYI KAZI SAWA SAWA NI JUKUMU WATU WENYE AKILI TIMAMU TUWASAIDIE WATU KAMA HAO KUWAFANYIA MAAMUZI"""How about this shithole comment?
Vipi mabalozi nao umewaona???๐๐๐Mitandao warriors mbona hawaonekani hapa Kisutu. Erythrocyte mko maeneo gani mbona hamuonekani Kisutu au mko online?
Sasa umeandika sijui Kichina au Kijapan sasa mimi nitajuaje kama umenitukana ama la!?Aldolf Hitler yeye alipata kusema """KUNA WATU AMBAO AKILI ZAO HAZIFANYI KAZI SAWA SAWA NI JUKUMU WATU WENYE AKILI TIMAMU TUWASAIDIE WATU KAMA HAO KUWAFANYIA MAAMUZI"""
MTU KAMA WEWE TUMEWAELIMISHA TUMAWAONESHA MATUNDU MBALI MBALI YA TUME YA UCHAGUZI NA KUWA AMBIA KUNA HAJA YA KUFANYA REFORMS ILA NYINYI MNAJIFANYA KINA MBUNI & KASONGO YEYEEE.
WEWE NI ้ด้
้ด้้ด้ Wewe na familia yako wotee na ukoo wenu wotee.
Nipo hapa , sema lingineMitandao warriors mbona hawaonekani hapa Kisutu. Erythrocyte mko maeneo gani mbona hamuonekani Kisutu au mko online?
Wenyewe wameshazoea Online lakini nyumbu wanalalamika bundle. imhotep anaomba kampuni za simu watoe bundle free ๐คฃ๐คฃVipi mabalozi nao umewaona???๐๐๐
Hapa wapi? Kumbe pia unatumia jina la Erythrocyte ?Nipo hapa , sema lingine
Nimekwambia nipo hapa , sasa ya unatumia jina la nani mara apa ni wapi inahusika vipi,Hapa wapi? Kumbe pia unatumia jina la Erythrocyte ?
Hii nchi ina watu wana mdomo tu ukiwasikiliza imekula kwako, ile mikwala iliyotolewa kabla ya kesi sasahivi hadi yule aliyewaita mabalozi hatumsikii tena ๐๐๐ kazi kuwachuza wenzao tu wakapigweWenyewe wameshazoea Online lakini nyumbu wanalalamika bundle. imhotep anaomba kampuni za simu watoe bundle free ๐คฃ๐คฃ
Hapa JF?Nimekwambia nipo hapa , sasa ya unatumia jina la nani mara apa ni wapi inahusika vipi,
Unajaribu kuwaza uchi wa mwanamke uliopitisha kichwa hiki ulikuwaje , unandika ujinga mkubwa kiasi hiki mitandaoni je huko ulikoMitandao warriors mbona hawaonekani hapa Kisutu. Erythrocyte mko maeneo gani mbona hamuonekani Kisutu au mko online?
Wewe ni shithole tu kama mashithole wengine wa Chadema naona akili yako huwa inawaza tu uchi wa mama yako ulikopita ndio maana unaandika ujinga hapa badala ya kujibu hoja.Unajaribu kuwaza uchi wa mwanamke uliopitisha kichwa hiki ulikuwaje , unandika ujinga mkubwa kiasi hiki mitandaoni je huko uliko