Client ni NHC?
Duh!
Yes, itakua ni plot/mali ya NHC lakini wameingia partnership na MS Radha construction ltd (ni PPP framework-Public-Private partnership policy). Magorofa mengi ya NHC maeneo hayo ukisoma mabango yake yanajengwa kwa mfumo huo.
View attachment 88527 huyu sikuwa na maelezo yake kama alikuwa ni mhanga au mfiwa au! lakini alikuwa anaonekana na machungu sana huku akisaidiwa kutembea
buuuuuu Mzugu wa jangwani nae alikuja na mikwara balaa na kijiko chake huku akitishia watu na kijiko cheke kuwagonga wasipopisha mwishowe alifika kwenye tukio akatulizwa bila ya kuwa na la kufanya... ndio ikawa mbio za sakafuni zikaishia ukingoni
German Sheppard hawakukosa japo walikuwa hawana kazi kwani kifusi kuisha ni kazi na mvua zimeshaanza kujongea...Client: NHS
Structural Engineers:Sou Consult