Habari ndugu na jamaa.hivi ni sehemu gani kwa dar naweza kupata video game nzuri ya kutumia kwenye tv yangu ya singsun.naombeni msaada wapi naweza pata video game
mhhhh ! Keko magurumbasi kule ni wataalm wa wa roba za mbao na kupora kwa kupiga ngumi kichwani.ukupigwa ngumi kichwani unaona maruweruwe afu watu wanazama mifukoni wanachukua chao.