Video Flex Cable ya Lenovo G500 laptop inahitajika!

Video Flex Cable ya Lenovo G500 laptop inahitajika!

blad

Member
Joined
Jul 3, 2014
Posts
26
Reaction score
6
Habari wakuu!
Laptopt yangu aina ya Lenovo g500 imekatka mkanda wa display (Video flex cable). Nmetafta spea hii madukan nmekosa.
Naomba yeyote alienayo au anaejua wapi naweza kuipata awasiliane nami!
Npo Dar!
 

Attachments

  • 1404651040169.jpg
    1404651040169.jpg
    7.5 KB · Views: 46
Habari wakuu!
Laptopt yangu aina ya Lenovo g500 imekatka mkanda wa display (Video flex cable). Nmetafta spea hii madukan nmekosa.
Naomba yeyote alienayo au anaejua wapi naweza kuipata awasiliaagiza ne nami!
Npo Dar!
agiza online mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom