Video Editing and Making

Mt Paulo

Member
Joined
Oct 27, 2018
Posts
88
Reaction score
64
Natamani kujifunza video making and video editing msaada tafadhali kwa mwenye ufahamu wa mambo haya
 
Una vifaa vya kujifunzia ?
 
natamani kujifunza video making and video editing msaada tafadhali kwa mwenye ufahamu wa mambo haya
Kwanza ili kujifunza ni lazima kwanza kuwa na Kompyuta Nzuri.

pili tafuta clip mbalimbali zenye kuonyesha masuala ya Video Editing.

tatu. tafuta rafiki wa Karibu ambaye anafanya hizo Shughuri.
 
natamani kujifunza video making and video editing msaada tafadhali kwa mwenye ufahamu wa mambo haya
Nna group langu nilikuwa nafundisha Video Editing and Graphics Designing Burr kabisa.

But now Niko busy saana. Sipati muda was kufundisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…