Wabongo ni watu wagumu sana kuishi nao.... Kila utakalofanya utasemwa tu
Wewe walimu wanajitambua kuliko we unavyofikiria, hii isue imekaa vibaya, kusema walimu kusafiri bure ni kama kuwaombea lifti kwenye magari binafsi, ivi unajua adha ya lifti wewe, ebu cku moja mwambie askari akuombee lifti kwenye gari ya biashara ndio utajua ubaya wa kondactor, kwanza ata wemweyewe utakosa amani,Umepewa msaada na WADAU kwa kutambua umuhimu wako katika jamii bado unaubeza na kutaka upewe Noti. Kweli tuna safari Ndefu Kama Taifa na Watanzania kwa ujumla.
Wewe walimu wanajitambua kuliko we unavyofikiria, hii isue imekaa vibaya, kusema walimu kusafiri bure ni kama kuwaombea lifti kwenye magari binafsi, ivi unajua adha ya lifti wewe, ebu cku moja mwambie askari akuombee lifti kwenye gari ya biashara ndio utajua ubaya wa kondactor, kwanza ata wemweyewe utakosa amani,
Mi ckatai nia hii, ni njema sana kwa walimu lakini kwa nini wasipewe cash yao kutoka shuleni tofauti na mshara,
wafanye tu kwa kima chini kwa sh 30,000 kwa mwezi ingukuwa bora kuliko huku kuombewa lifti
Hii Hapa...............
ID yako inakutambulisha ulivyoMakonda akili yake na uwezo wa kutafakari uko katika kiwango duni sana.Matatizo hayatatuliwi kwa mentality ya ombaomba,bali kwa kuwa na fikra za kujitegemea kuanzia fikra hadi matendo.Ukefikiria juu juu utaona ni wazo zuri,ila ukefikiria kwa kina utagundua ni wazo la hovyo kabisa.