Pc hiyo inauwezo mdogo sana kwa kucheza games labda za mwaka 2008Wakuu nina pc yenye ram 2gb, intel core 2 duo 2.4ghz processor.
Nataka nikanunue video card ili nicheze game kama GTA 5.
Naomba ushauri maana mi sio mjuzi wa haya mambo, ninunue video card ipi?
Na naweza kuipata wapi hapa Dar?