Video: Bibi aelezea mawazo yake kuhusu CCM

Bibi nomaaaa,pia mchangiaji wa kwanza hiyo kitu ungeifungulia uzi wake maalum ungekuwa poa sana.
 

Ndg. kbosho Naomba uanzishie thread hivi makala tafadhali
 
Ni laana kuchagua Chama Cha Majambazi. Walimuuwa mwangosi, mvungi, wakamng'oa kucha Ulimboka. Wanawafira masheikh gerezani baada ya kukosa ushahidi wa tuhuma walizowabambikia. Wanaiba mali za masikini huku watu kitaabika kwa huduma duni na wengne wakifa kwa kukosa dawa au huduma za upasuaji nk. Narudia tena AMELAANIWA MTU YEYOTE ANAYEWAPIGIA DEBE HAWA GENGE LA MAJAMBAZI WA KALAMU.
 
Dah..."hakuna Amani bali ni kisiwa cha uvumilivu" kaongea kwa hisia mno,ccm ndo wataleta vita sababu wana silaha
 

sasa inakuwaje ndugu unachukua tunda toka mti mbaya na kulihamishia ndani kwako au labda hayo maneo ya mti mbaya kutoa tunda nzuri siyo yako ?
SIASA NI SAWA NA PILAU LA MSIBANI.
 

Aise embu sambaza na hii video kama hivi
 
Wenyewe nyimbo yao inaimba ccm ni ile ile ni kweli kabisa coz inafuga mafisadi haiewez kubadilika hata kidogo
 
Hiyo video sijaiona inaniambia no video au wameshaitoa?
 
Huyu bibi kweli anajitambua. Hata sikutegemea bibi kama huyu aongee maneno kama haya hasa alipomalizia kwa kusema CCM isitutie ujinga kwa kutuogopesha vita.
 
Mwee...bibi umewafungua macho wasomi wetu wanaopingana na mabadiliko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…