Video: Arusha mjini kazi ipo

Video: Arusha mjini kazi ipo

TataMadiba

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2014
Posts
9,868
Reaction score
5,753
Lema kaanikwa kwelikweli na huyu jamaa. Atakuwa anajua madudu mengi sana ya Lema.
[video=youtube_share;eO1XmsGDepM]http://youtu.be/eO1XmsGDepM[/video]
 
Ni wawapi huyo.asitupe hasira atuache. Eti ccm itashinda arusha. Umezaliwa wapi wewe? Wanakutumia eehe? Pipooooooooz ndo mpango mzima.
 
Tulieni sindano iingie vizuri na dawa ikolee......CCM imeanza kuwatandika kila kona, yaana kama kawa.
 
Lema kaanikwa kwelikweli na huyu jamaa. Atakuwa anajua madudu mengi sana ya Lema.
[video=youtube_share;eO1XmsGDepM]http://youtu.be/eO1XmsGDepM[/video]

jamaa kammaliza.
 
Tulieni sindano iingie vizuri na dawa ikolee......CCM imeanza kuwatandika kila kona, yaana kama kawa.

We huijui Arusha...Tulishaamua mabadiliko kitambo sana...hata mje na vyupi vichwani sisi ni mabadiliko tu....
 
hatuongei mengi october 25 ndo mtajua arusha ipoje kunyamaza ni jibu la mjinga peoplezzzzzz
 
Lema bye bye Arusha ...huu ni ukweli mchungu.
 
Lema kaanikwa kwelikweli na huyu jamaa. Atakuwa anajua madudu mengi sana ya Lema.
[video=youtube_share;eO1XmsGDepM]http://youtu.be/eO1XmsGDepM[/video]

Kumbe ni wewe uzushi wako kule mwanahalisi forum umeona hauna wafuasi umekuja kujaribu huku.

Utahaha sana lakini ndo hivyo ccm imeshachokwa mijini na vijijini hivyo hata uje na propaganda gani utakua unapoteza muda tu mdogo wangu.
 
lema kaanikwa kwelikweli na huyu jamaa. Atakuwa anajua madudu mengi sana ya lema.
[video=youtube_share;eo1xmsgdepm]http://youtu.be/eo1xmsgdepm[/video]

yani arusha mjini ccm ishinde hizo ni ndoto za mchana kweupe kama sio alfajiri watu wanaamka wewe ndo una vuta shuka na kuendelea kuota,teh!teh!teh!
 
Back
Top Bottom