Mpinzani wa kweli na Mwenye kusimamia anachokiamini hadi mwisho wa uhai wake
Ni challenge Kwa wapinzani wa kawaida wakipata madaraka wanasahau hata wanachokisimamia, Kuna mmoja huko alisikika akisema anatengua kauli ya kujiuzulu, mwingine huku hats hajui jamii pana inapinga nin kuhusu sheria mbovu za mitandao...
Fair weather opposition leaders.....RIP Mawazo.
Alikuwa anajiamini na nafikiri alikuwa na charisma ya kugusa mioyo ya watu. Angeweza fika mbali na harakati zake za upinzani endapo angekuwa bado anaishi. Ila kwa kumbukumbu zangu za Mwalimu wangu wa St, Kayumba aliniambia, "I don't trust nobody = I trust anybody". Kwa msimamo alikuwa vizuri na upinzani wa serikali walimhitaji zaidi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.