Dingswayo JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 4,019 Reaction score 2,930 Jul 25, 2013 #1 Watu 80 wamefariki leo katika ajali ya train Spain. Train ilikuwa inakwenda mwendo wa kilomita 190 kwa saa badala ya kilomita 80 kwa saa. [video=youtube_share;g5NyBO75YYc]http://youtu.be/g5NyBO75YYc[/video]
Watu 80 wamefariki leo katika ajali ya train Spain. Train ilikuwa inakwenda mwendo wa kilomita 190 kwa saa badala ya kilomita 80 kwa saa. [video=youtube_share;g5NyBO75YYc]http://youtu.be/g5NyBO75YYc[/video]
M mdenish Member Joined Jul 21, 2013 Posts 12 Reaction score 1 Jul 26, 2013 #2 video yenyewe iko wapi sasa? Au mi sijaelewa heading yako!
SHIEKA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 8,240 Reaction score 4,270 Jul 26, 2013 #3 Inatisha sana kuona jinsi treni inavyoacha reli na kubingirika! Huyo dereva ana kesi kubwa ya kujibu!
Inatisha sana kuona jinsi treni inavyoacha reli na kubingirika! Huyo dereva ana kesi kubwa ya kujibu!
B Babuu Rogger JF-Expert Member Joined Nov 16, 2011 Posts 1,530 Reaction score 1,121 Jul 26, 2013 #4 mdenish said: video yenyewe iko wapi sasa? Au mi sijaelewa heading yako! Click to expand... Unavyouliza kwa jazba!!!!!!!!!!! video ipo na inaonekana. Computer yako mchina nini?
mdenish said: video yenyewe iko wapi sasa? Au mi sijaelewa heading yako! Click to expand... Unavyouliza kwa jazba!!!!!!!!!!! video ipo na inaonekana. Computer yako mchina nini?
rushanju JF-Expert Member Joined Nov 3, 2011 Posts 3,327 Reaction score 5,594 Jul 26, 2013 #5 Mbona kama kuna mlipuko. Ebu check vizuri kwenya maungio ya Kichwa na mabehewa mengine