G
guest-1790917349
Guest
š¤Aiseer poleMaji yapo chooni! Lkn anajifuta na kitambaa makwapani bila aibu! Ni mwanaume
Mimi ndo nilikua rafiki yake kumpeleka airport kutoa pesa
Kutembea nae harufuu plus kigugumizii chake! hadi kichwa kinaniumaš
Mi ningempa live nakwambia