Victoria Nuland awasili Kiev

Hawawezi kuisha hata iweje, ukiona bado wanapigana ujue nguvu bado wanayo, wangekuwa wameisha wasingeendelea na mapambano, ambavyo Ukraine hakusalimu kipindi cha Wegner kwa sasa hawezi kusarenda, hata Russia ameshajichokea ni siri yake, inapigana vita na huku una kikwazo, Ukraine anatamani vita viishe, Rusia anatamani vita iishe , baada ya vita uchumi wa Russia utakuwa umerudi nyuma zaidi ya miaka 10
 
na advantage ya Ukraine anaeza shikamana na ulaya kusimama ila Urusi anajaribu kuiteka afrika iwe kiinua mgongo wake ila atamkuta China huku so lzm kiumane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…