F fumba Member Joined Sep 4, 2012 Posts 51 Reaction score 8 Jun 8, 2013 #1 Wadau naomba kujuzwa nn kinaendelea kuhusiana na huyu Mtanzania mwenzetu Je alitumwa au alisingiziwa au nn kinaendelea naomba kuwasilisha akhsante natanguliza
Wadau naomba kujuzwa nn kinaendelea kuhusiana na huyu Mtanzania mwenzetu Je alitumwa au alisingiziwa au nn kinaendelea naomba kuwasilisha akhsante natanguliza
mdeki JF-Expert Member Joined Mar 28, 2011 Posts 3,299 Reaction score 477 Jun 8, 2013 #2 Hii movie haikuishaee? Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
H Honolulu JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 5,648 Reaction score 1,729 Jun 8, 2013 #3 Huyu kijana kwa kweli ameonewa sana! Hii laana iwaendee magamba!
Mkoroshokigoli JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 14,593 Reaction score 5,582 Jun 8, 2013 #4 fumba na Hiroshima jaman inaonekana hamjafurahishwa na kukamatwa kwa ambros sasa mnahisi ni nani alohusika? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
fumba na Hiroshima jaman inaonekana hamjafurahishwa na kukamatwa kwa ambros sasa mnahisi ni nani alohusika?
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,371 Reaction score 88,567 Jun 8, 2013 #5 Mkoroshokigoli said: fumba na Hiroshima jaman inaonekana hamjafurahishwa na kukamatwa kwa ambros sasa mnahisi ni nani alohusika? Click to expand... Joshua Mulundi Mkenya wa kova Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mkoroshokigoli said: fumba na Hiroshima jaman inaonekana hamjafurahishwa na kukamatwa kwa ambros sasa mnahisi ni nani alohusika? Click to expand... Joshua Mulundi Mkenya wa kova
F fumba Member Joined Sep 4, 2012 Posts 51 Reaction score 8 Jun 8, 2013 Thread starter #6 Mkoroshokigoli said: fumba na Hiroshima jaman inaonekana hamjafurahishwa na kukamatwa kwa ambros sasa mnahisi ni nani alohusika? Click to expand... Mungu ndo anaejua nan muhusika Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mkoroshokigoli said: fumba na Hiroshima jaman inaonekana hamjafurahishwa na kukamatwa kwa ambros sasa mnahisi ni nani alohusika? Click to expand... Mungu ndo anaejua nan muhusika