westgate
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 278
- 279
Katika mahusiano yoyote ya kimapenzi, lazima atokee victim wa mapenzi victim wa mapenzi ni yule mtu anaempenda mpenzi wake zaidi ya yeye anavopendwa.
Haiwezi kutokea mkapendana sawa katika mahusiano kwahiyo swala la victim kuwepo ni lazima na haliepukiki
Baadhi ya dalili za kuwa victim ni hizi:
* Kulizia kila mara mpenzi wako alipo, wakati yeye ni vigumu kukuulizia.
* kutamani sana kushika simu yake au kujua anawasiliana na nani wakati mwenzio hana time na wewe.
* kupenda kuhang nae mara nyingi na mkitoka unatamani muongozane kabisa.
* kuwa unamtafuta mara kwa mara tofauti na yeye anaekutafuta mara chache.
Na mengine mengi we upo upande gani wa mahusiano!? Unaenjoy kuwa victim au hupendi!?