Vicky Kamata Adakwa na Polisi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
Nimesikia kupitia magazeti ya leo kwamba Mh Vicky Kamata amekamatwa na Polisi kwa kutumia ujumbe wa matusi waheshimiwa wenzie wa viti maalum

Habari zaidi zitakujia hivi punde



CHANZO: Mtanzania
 
Inawezekanaje mwenye bahati kuwa katika nafasi nyeti kama hiyo kuwa na mambo hayo
 
Nimesikia kupitia magazeti ya leo kwamba Mh Vicky Kamata amekamatwa na Polisi kwa kutumia ujumbe wa matusi waheshimiwa wenzie wa viti maalum

habari zaidi zitakujia hivi punde

Nu kweli imeandikwa japo ni uongo na wakioandika hawajchunguza kwa makini ni nini kilichotokea.
 
Busara ndogo hao walioshtaki,
hii kesi ingepelekwa kwa madam Spika.
 
Naona leo wachangiaji wa hii mada wengi ni mabingwa wa kukariri. Siku hazigandi fununu kwa bongo tayari imekua kweli eti eti tu watu washatia sahihi.. shughulisheni akili zenu kufikiri zaidi huyo amiri jeshi mlimshikia miguu.. au mlikuwepo?? Au na nyie mnataka??? Nyie ndo wenye wivu sasa hamjijui tu.
 
Mti wenye matunda kupigwa mawe lazima katika maisha ili ufanikiwe unahtaji marafiki ila ili ufanikiwe zaidi unahitaji maadui keep it up Madam Vicky kamata watasema mchana usiku watalala inshaalaah Mwenyezi Mungu atakufanyia wepesi..
 
Busara ndogo hao walioshtaki,
hii kesi ingepelekwa kwa madam Spika.

Ulilosema ni kweli kabsa ila mtu kama anakuchukia anatamani hata angeenda The Heig Ili kumuua kisisa na si kisiasa tu kuna taratibu nyingi zilipaswa kufuatwa kabla yankufika huko mtu kama hakupendi ni hakupendi tu.. cha msingi piga moyo konde hon Vicky na kisha usonge mbele.
 
Kuna watu wanawashwa na umbe hata ilo gazeti hamjalisoma mnakurupuka tukuna jambo gani la ajaby hapa.
 

Sasa huyo Vicky ana siasa gani??ashukuru viti maalum la sivyo asingegusa hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…