Vichekesho vya wapinzani wa zitto kabwe.

Vichekesho vya wapinzani wa zitto kabwe.

Mwl. Kaijage

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
216
Reaction score
214
Dr Sinare Yusufu Sinare kaja na jipya kukoleza
moto na kuwaamsha wapinzani wa Zitto
wameifanya hiyo ni habari kubwa na ITV/RadioOne
wanaipa headline ya kutosha hiyo habari ya
Agricultural Council of Tanzania Vs Alliance for
Change and Transparency.
Wanasiasa nao wameibeba hii kama hoja katika
mijadala mbalimbali wafuasi wanaumana,
wanatukanana n.k
Huyu Dr Sinare Y. Sinare ameamua mwenyewe
ama amesukumwa kutimiza ajenda maalumu ya
wanasiasa?
1: Mbeya City Council (MCC)
Mbeya Cement Company (MCC)
Millenium Challenge Corporation (MCC)
2: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Christian Council Movement (CCM)
3: Tanzania Cotton Board (TCB)
Tanzania Coffee Board (TCB)
Tanzania Cashnewt Board (TCB)
4: Kilimanjaro Plantation Limited (KPL)
Kilombero Plantation Limited (KPL)
5: Access Bank Tanzania (ABT)
Advans Bank Tanzania (ABT)
Huo mfanano wooote haukuonekana hapo kabla ila
leo baada ya Zitto kujiunga na ACT ndio huo
mfanano umeibuka?
Zitto amekuwa tatizo sana, jinsi anavyoandamwa
hivi ndivyo jamii inavyoona kuwa wenye
kumuandama wana ajenda zao za chuki na
uhasama.
Yeye kajizuia kuzungumzia kuhusu chama
alichotoka kwa kauli mbiu isemayo "Forward Ever
Backward Never" na akawaasa wafuasi wake
wakome kujibizana na wafuasi wa chama
alichotoka. Lakini wafuasi wa chama alichotoka
wanaendelea na mashambulizi dhidi yake na huko
alikokwenda.
Juzi kulikuwa na kesi ambayo wafuasi wa chama
alichotoka waliigeuza ajenda bahati mbaya
Mahakama Kuu ikatupilia mbali zuio la Mkutano
Mkuu wa ACT Tanzania na sasa utafanyika kama
ulivyopangwa kesho Jumamosi na Jumapili
itakuwa ndio uzinduzi wa Chama pale Diamond
Jubilee kuanzia saa 9:00 alasiri.
Ifike mahala kila chama kifanye mambo yake.
Kuwachochea vijana kushambuliana kunaweza
kuwa na matokeo mawili yenye faida kwa vyama
husika ama yenye hasara kwao wote.
 
dr sinare yusufu sinare kaja na jipya kukoleza
moto na kuwaamsha wapinzani wa zitto
wameifanya hiyo ni habari kubwa na itv/radioone
wanaipa headline ya kutosha hiyo habari ya
agricultural council of tanzania vs alliance for
change and transparency.

Zitto amekuwa tatizo sana, jinsi anavyoandamwa
hivi ndivyo jamii inavyoona kuwa wenye
kumuandama wana ajenda zao za chuki na
uhasama.
Yeye kajizuia kuzungumzia kuhusu chama
alichotoka kwa kauli mbiu isemayo "forward ever
backward never" na akawaasa wafuasi wake
wakome kujibizana na wafuasi wa chama
alichotoka. Lakini wafuasi wa chama alichotoka
wanaendelea na mashambulizi dhidi yake na huko
alikokwenda.
Juzi kulikuwa na kesi ambayo wafuasi wa chama
alichotoka waliigeuza ajenda bahati mbaya
mahakama kuu ikatupilia mbali zuio la mkutano
mkuu wa act tanzania na sasa utafanyika kama
ulivyopangwa kesho jumamosi na jumapili
itakuwa ndio uzinduzi wa chama pale diamond
jubilee kuanzia saa 9:00 alasiri.
Ifike mahala kila chama kifanye mambo yake.
Kuwachochea vijana kushambuliana kunaweza
kuwa na matokeo mawili yenye faida kwa vyama
husika ama yenye hasara kwao wote.

tofautisha kati ya nembo na kifupisho. Mshaambiwa nembo yenu mnayotumia tayari inatumiwa na mtu mwingine na tayari ilishasajiriwa kabla yenu au hilo nalo gumu kulielewa?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Tiyari Zito ameshajibinafshia chama,mleta mada anasema Zito anawafanya watu wasilale kana kwamba aliyeleta hiyo ACT ni Zito
 
Acha kupotosha wewe,hakuna kitu kinachoitwa christian council movement bali ni christian council of Tanzania(CCT) huwezi kufananisha genge la wahuni na jumuiya ya kikristo Tanzania.
 
Tatizo zitto anaamini sana waganga wake.
 
Dr Sinare Yusufu Sinare kaja na jipya kukoleza
moto na kuwaamsha wapinzani wa Zitto
wameifanya hiyo ni habari kubwa na ITV/RadioOne
wanaipa headline ya kutosha hiyo habari ya
Agricultural Council of Tanzania Vs Alliance for
Change and Transparency.
Wanasiasa nao wameibeba hii kama hoja katika
mijadala mbalimbali wafuasi wanaumana,
wanatukanana n.k
Huyu Dr Sinare Y. Sinare ameamua mwenyewe
ama amesukumwa kutimiza ajenda maalumu ya
wanasiasa?
1: Mbeya City Council (MCC)
Mbeya Cement Company (MCC)
Millenium Challenge Corporation (MCC)
2: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Christian Council Movement (CCM)
3: Tanzania Cotton Board (TCB)
Tanzania Coffee Board (TCB)
Tanzania Cashnewt Board (TCB)
4: Kilimanjaro Plantation Limited (KPL)
Kilombero Plantation Limited (KPL)
5: Access Bank Tanzania (ABT)
Advans Bank Tanzania (ABT)
Huo mfanano wooote haukuonekana hapo kabla ila
leo baada ya Zitto kujiunga na ACT ndio huo
mfanano umeibuka?
Zitto amekuwa tatizo sana, jinsi anavyoandamwa
hivi ndivyo jamii inavyoona kuwa wenye
kumuandama wana ajenda zao za chuki na
uhasama.
Yeye kajizuia kuzungumzia kuhusu chama
alichotoka kwa kauli mbiu isemayo "Forward Ever
Backward Never" na akawaasa wafuasi wake
wakome kujibizana na wafuasi wa chama
alichotoka. Lakini wafuasi wa chama alichotoka
wanaendelea na mashambulizi dhidi yake na huko
alikokwenda.
Juzi kulikuwa na kesi ambayo wafuasi wa chama
alichotoka waliigeuza ajenda bahati mbaya
Mahakama Kuu ikatupilia mbali zuio la Mkutano
Mkuu wa ACT Tanzania na sasa utafanyika kama
ulivyopangwa kesho Jumamosi na Jumapili
itakuwa ndio uzinduzi wa Chama pale Diamond
Jubilee kuanzia saa 9:00 alasiri.
Ifike mahala kila chama kifanye mambo yake.
Kuwachochea vijana kushambuliana kunaweza
kuwa na matokeo mawili yenye faida kwa vyama
husika ama yenye hasara kwao wote.

Badilisha ID sasa..., ili uonekana mpya..., Unafanya kazi ya watu 100.., kuna siku utajikuta umekuwa tu tahira.., WE endelea tu
 
Agricultural Council of Tanzania is the agricultural private sector apex organization in Tanzania. ACT unites all stakeholders. Farmer groups and associations, cooperatives, companies and institutions whose activities have relationship with agriculture, e.g. farming, livestock keeping, fisheries, beekeeping, and people engaged as researchers, traders, processors, transporters etc. ACT was established in 1999 under the name of the Tanzania Chamber of Agriculture and Livestock-TCAL. It is registered as a Company Limited by Guarantee. It was inaugurated in 2000 by then President William B. Mkapa. This organization changed its name to Agricultural Council of Tanzania-ACT in 2005.

Source: Who We Are: Agricultural Council of Tanzania - About Us

My take:

Ili tujue nani amemuiga nani inabidi tujiulize, ACT ya Zitto ilianzishwa mwaka gani?
 
Back
Top Bottom