Vichekesho vya pensheni

Kama sijakuelewa kabisa.
 
Unawakejeli pensioners.uzee ni thawabu na siyo laana.Kwa kejeli hizi basi omba sana usifikie uzee.
 
Ivi hiyo APE ina maana gani ?
Na miezi ya uchangiaji ??? ngumu kumeza
 
Ninyi wanasiasa akili zenu ziko kwenye matumbo yenu hamuangalii future za watu. Haya ni mawazo ya kipumbavu kabisa
 
Ninyi mishahara yenu ni minono na pension zenu kubwa lakini hamzichukui mkizeeka wala jamchukui kwa 25% kama mnavyo wafanyia wenzenu lakini.
Wao mishahara yao kidogo halafu mnatoa mawazo ya kijinga au kipumbavu hapa
 
Hivi moderators hawana filter ya kuchuja uchafu humu?
Huu uchafu unakujaje hapa kwa great thinkers.
 
Nakuona chakubanga umetumwa
 
Kuna mtu kama angekuwa yupo jirani na waliochangia uzi huu angetandikwa kipigo cha mbwa koko!
 
Maadui Wakuu Wa Tanzania Ni
1 . Ujinga
2 . Umasikini
3 . Maradhi
 
Mods mko wapi mbona mnaacha hoja mbovu lama hizi zinatamba kwenye page ya forum??
 
Kama hivi ndivyo vinavyokuchekesha basi hujielewi. Onea huruma wazee wetu wanaoteseka sasa kwa sababu ya hizi sheria
 
Utakuta aliyeleta mada ni kigogo mkubwa sana hapo Lumumba.
Na huenda ni limwanafunzi la waziri wa kazi pindi alipokuwa anafundisha! Hawa walimu waliokimbilia siasa na maadui wa ustawi wa wastaafu kwani wana roho mbaya kuliko shetani aliyeumbiwa eoho hiyo! Kiuhalisia walichojifunza na kuhitimu vyema ni kujipendekeza, unafiki na roho mbaya! Mungu huna kazi na eoho hizi zinazoumiza roho zisizo na hatia? Zichukue basi hata ukaziweka icu zitaabike pamoja na mwili!
 
Serikali hii inasema inatetea wanyonge, Rais atwambie wanyonge ni akina nani? Sijaelewa
 
Hata minister akiwa kwenye system yuko kama wewe ila akishatoka kwenye system ndio anapata busara..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…