CalvinKimaro
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 245
- 314
Me nikajua sijazeeka ndiyo maana sijaelewa nimetoka bilabila kumbe tupo wengi.Mimi naomba nikiri sijakuelewa kabisa
Huwezi kuelewa kama una fikra/akili za Ufipa mkuu!Mimi naomba nikiri sijakuelewa kabisa
Umeandika madudu tu.VIICHEKESHO VYA PENSION
1. Watu wanasahau ndani ya pension mchango wa mwajiri ni mkubwa kuliko wa mfanyakazi!
2. Kudai pension kabla ya kuzeeka ni sawa na mtoto Wa shule ya msingi kudai baba ampe ada mpaka ya chuo kikuu atapanga mwenyewe utaratibu wa kulipa ada baadae.
3. Watu wakizeeka wanadai serikali haiwajali wazee serikali nayo inawapeleka Nungwi kustarehe.
...
Kwa vichekesho hivi bonyeza neno "TANZANIA"
Mkuu hueleweki unakuwa kama umeheuka?VIICHEKESHO VYA PENSION
1. Watu wanasahau ndani ya pension mchango wa mwajiri ni mkubwa kuliko wa mfanyakazi!
2. Kudai pension kabla ya kuzeeka ni sawa na mtoto Wa shule ya msingi kudai baba ampe ada mpaka ya chuo kikuu atapanga mwenyewe utaratibu wa kulipa ada baadae.
3. Watu wakizeeka wanadai serikali haiwajali wazee serikali nayo inawapeleka Nungwi kustarehe.
...
Kwa vichekesho hivi bonyeza neno "TANZANIA"
Huyo ni kichaa haiitaji mjadalaMkuu hueleweki unakuwa kama umeheuka?
Kwenye kueleweshana kama mtu hajaelewa kumbe napo maufipa yamo? Siyo watanzania wooote wanashabikia mavyama ndg. Tueleweshane tu kwa nia njema ndo hata ukiwa na mrengo kisiasa utawapata wale wasio na vyama wakakuunga mkono. Hivi mna wakatisha tamaa wasiopenda siasa wanajua huko ni matusi na kukejeliana tu.Huwezi kuelewa kama una fikra/akili za Ufipa mkuu!
Mleta mada yuko sahihi na watu timamu wataelewa mantiki ya Hoja yake.
Kichaa 3³.Kama baba ni kichaa watoto ni ×2