mtoto wa mzée Simba-, nduguye na Kobello mpwae na Mloka kutoka Lukangazi Murogoro! Sema kama walivyo Waluguru wengine, mbishi huyo utafikiri kachanjiwa. Kama yupo peke yake, yupo tayari kukurushia vocha ya buku ili ujiunge kisha mbishane kati ya Murogoro na Dar wapi kuna maghorofa mengi.