Vichekesho Mubashara;Sipendi Ujinga Mim

cc12

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
1,018
395
[HASHTAG]#Ujinga[/HASHTAG] ni bae kuishi ghetto unatoka kwake asubuhi unaskia wamama wa plot wakisema afadhali huyu hakumpigisha kelele kama hao wengine



[HASHTAG]#Ujinga[/HASHTAG] ni pale Mpenzi wako anapo-Post kuwa REAL MEN are born in DECEMBER wakati wew umezaliwa Tarehe 1 April



[HASHTAG]#Ujinga[/HASHTAG]..Izi nomination hazipendi ujinga,,Unaita dem for a date anakam na running mate
1f46d.png
1f46d.png
. Hapo ndio mm huzima simu na kujifanya independent candidate..



[HASHTAG]#Ujinga[/HASHTAG]…I was asked wapi Maua.
I answered past Meru town.
We laughed, laughed and laughed.
I’m single now…



[HASHTAG]#Ujinga[/HASHTAG]…King Solomon Alikiwa na Wake 700 na Michepuko 300,Lakin Mpenzi wako Anakucheat na mchepuko Mmoja ila Hatuna Amani Kabisa yani

Wasichana Msome Biblia Tafadhal

Habari WanaJf leo nimewaletea Kitu Mubashara Kabsa kwa wale wapenda Vichekesho ni App Kabambe Kabsa yenye lengo la kuifanya siku yako ikawe Murua kabsa Inaiwa Vichekesho Mubashara Ipo Play Store pia unaweza kubofya Hapa na Ukawa Umepakua

Vichekesho Mubashara - Android Apps on Google Play
 
Back
Top Bottom