Mwanamke msafi huwa na mwanamme msafi..period..kama wewe ni mchafu utakuwa na wachafu wenzako..Bora umesema...Ila hapa ni kuelimishana... wa namna hiyo huwa wanakera kwa kweli..Ukute sasa mi sha.....wa imetoka ikajipakaza mmmmhhh inatia kinyaa... Halafu zile na mijasho ni uchafuu....
Mwingine ukiwa hutaki kumkosoa unamwambia kiustaarabu umnyoe hataki basi balaaaaa...
Wapo wanaume wachafu jamani dah....japo si wote...
Halafu zivu na zivu zatofautiana...Kuna zile za kipilipili dahhh utafikiri nziii vinatishaa...ahhh jitahidini kusafisha
Ahsante Morg kuwakilisha ujumbe huu
Nyoko zako mtajiju kama mmezalishwa na kuachwa ha ha ha mie mtoto chuchu saa 6 ziwa konzi.
Sema jingine umeona thread zake.
Sisi wengine tuna uzoefu wa kula kuanzia watoto wa uswazi huku kwetu, mpaka masistaduu, na watoto wife material tunajua tofauti so hatuwezi kuja hapa kugeneralized..au hata kuanzisha hizi mada...mtu kama una poor exposure ndo vitu ka hivi vinakuwa ishu..jamani..! Sie wa uswazi tuna shida eeeh!, hadi kunyoa yabidi "jf alarm"...lols
Natanguliza samahani kwa wale ambao nitakuwa nimewakwaza jana,lakini ndugu zangu,Tupo kwajili ya kufahamishana tu sio ugomvi wala kashfa,kwani najua mtu akishajua mapungufu yake anajua jinsi ya kutafuta suluhisho.
Nawaheshimu sana kaka zangu,baba zangu,wadogo zangu wote humu JF,Tusambaze upendo.MBARIKIWE.
Back to our main issue:
Jamani jamani jamani,tuko faragha, mwanaume unataka upewe raha zote za dunia,na faragha ni sehemu tofauti na sehemu yoyote,nahitaji watu kujiacha na kujimwaga kwa kila aina lakini kumbe sehemu nyingine majanga hata kuisogelea unawaza na mud inatoka.Unakuta ndugu honey kafuga msitu mkubwa wa kuka chatu na wajukuu zake,
Wanaume kwanini mnakuwaga wavivu wa kusafisha mazingira ya bwana mkuu?(kunyoa mazivu) unataka kumlisha mwenzio majani na taka taka nyingine jamani kweli?
Eti cha ajabu mnakumbuka kutoa ndevu na nywele kila baada ya siku kadhaa lakini zivu na makwapa,ni vichaka vya hatari.
Tunajua mnakuwa busy na majukumu, tunajua mnapitiwa,wewe uliyeoa mkumbushe basi mkeo akusaidie maana si wake wote wanajua wajibu wao,
Wewe unayejiita bachela,jitahidi kuweka hata ratiba au maandishi ukutani ukumbuke kujinyoa sio mnakuja kutulalamikia hapa,eti demu gani hajui mapenzi,hajui kunyonya, anyonye miuchafu hiyo?
Najua mtarudisha kibao kwa wanawake pia mkumbuke nyie mmezidi tena ukutane na mwanaume hata kapafyumu hakajui,saaalaaaleeee boxer uvundo uvundooo.
Kwakweli inasikitisha
JITAHIDINI USAFIIII BWANA
Si laana ni ajali yeye tu hajiaminina usinge maza wake na kusakama watu kila siku
Mbona ka dizain flani unawachukia wanaume wamekufanyanini miss??
Msaidieni mwenzenu naona kama anatatizo flani hivi..Mbona ka dizain flani unawachukia wanaume wamekufanyanini miss??
Inaweza kuwa jamaa aliyezalisha kachoka kwa mambo kama haya...mkuu embu assume ndo demu wako..24/7 anawaza viungo volivyopo kwenye perinium tu anawaza ngono tu..kuna wanaume wanabahati mbaya sana kwenye maisha..wanakutana na watu wenye personality za ajabu sana
Mbona wanawake wa makabila ya waswana, Waswazi na makabila kadhaa ya kusini mwa Afrika hawanyoi wanaume hawalalamiki?
Umewahi kuuliza sababu??? Ukienda tena waulize halafu uje utupe mrejesho!!
Na mtu kama huyu ana mtoto..sasa huyo dogo anakuwa vp km analelewa na mama wa hivi..Mwanae anashida sana
Natanguliza samahani kwa wale ambao nitakuwa nimewakwaza jana,lakini ndugu zangu,Tupo kwajili ya kufahamishana tu sio ugomvi wala kashfa,kwani najua mtu akishajua mapungufu yake anajua jinsi ya kutafuta suluhisho.
Nawaheshimu sana kaka zangu,baba zangu,wadogo zangu wote humu JF,Tusambaze upendo.MBARIKIWE.
Back to our main issue:
Jamani jamani jamani,tuko faragha, mwanaume unataka upewe raha zote za dunia,na faragha ni sehemu tofauti na sehemu yoyote,nahitaji watu kujiacha na kujimwaga kwa kila aina lakini kumbe sehemu nyingine majanga hata kuisogelea unawaza na mud inatoka.Unakuta ndugu honey kafuga msitu mkubwa wa kuka chatu na wajukuu zake,
Wanaume kwanini mnakuwaga wavivu wa kusafisha mazingira ya bwana mkuu?(kunyoa mazivu) unataka kumlisha mwenzio majani na taka taka nyingine jamani kweli?
Eti cha ajabu mnakumbuka kutoa ndevu na nywele kila baada ya siku kadhaa lakini zivu na makwapa,ni vichaka vya hatari.
Tunajua mnakuwa busy na majukumu, tunajua mnapitiwa,wewe uliyeoa mkumbushe basi mkeo akusaidie maana si wake wote wanajua wajibu wao,
Wewe unayejiita bachela,jitahidi kuweka hata ratiba au maandishi ukutani ukumbuke kujinyoa sio mnakuja kutulalamikia hapa,eti demu gani hajui mapenzi,hajui kunyonya, anyonye miuchafu hiyo?
Najua mtarudisha kibao kwa wanawake pia mkumbuke nyie mmezidi tena ukutane na mwanaume hata kapafyumu hakajui,saaalaaaleeee boxer uvundo uvundooo.
Kwakweli inasikitisha
JITAHIDINI USAFIIII BWANA
tunaogopa kunyoa vuzi ili ushindwe kuchepuka akija kukagua akikuta umenyoa ni vita ya nne ya dunia acha kabisa
Mungu yeye hana...sema haki ya mungu