Vichaka Vyenu Vinakatisha Mud bwana,

Huu uzi ungekuwa kule JWL ningechangia ipasavyo, huku nahofia watoto wadogo wanaweza kusikia.

Lakini kwa kifupi tu, mleta uzi nakupa pole kwa kuopoa malapulapu yasiyojua hata kuoga. Shetani mwenzake shetani na kamwe hawezi kuwa rafiki na malaika...
 
Wewe ndio hujiamini,umekosa hoja umedandia usingo mom wake. Kwa hiyo hatakiwi kusema chochoke kisa ni singo mom??bora yeye kasema ni singo mom,yawezekana hata wewe ni singo na una watoto 9 na umedispoziwa ila hutaki kusema.

Nyoko zako mtajiju kama mmezalishwa na kuachwa ha ha ha mie mtoto chuchu saa 6 ziwa konzi.
Sema jingine umeona thread zake.
 
Wengi hamfyeki bwana, usitake kurusha juu na kukidaka mwenyewe

Bora umesema...Ila hapa ni kuelimishana... wa namna hiyo huwa wanakera kwa kweli..Ukute sasa mi sha.....wa imetoka ikajipakaza mmmmhhh inatia kinyaa... Halafu zile na mijasho ni uchafuu....

Mwingine ukiwa hutaki kumkosoa unamwambia kiustaarabu umnyoe hataki basi balaaaaa...

Wapo wanaume wachafu jamani dah....japo si wote...

Halafu zivu na zivu zatofautiana...Kuna zile za kipilipili dahhh utafikiri nziii vinatishaa...ahhh jitahidini kusafisha

Ahsante Morg kuwakilisha ujumbe huu
 
Halafu kama hujui, zivu zikiwa kubwa zinapasua hata Condom...coz zingine zinakuwa kali ile misuguano lol!! pia zinasababisha michubuko
 
Huu uzi ungekuwa kule JWL ningechangia ipasavyo, huku nahofia watoto wadogo wanaweza kusikia.

Lakini kwa kifupi tu, mleta uzi nakupa pole kwa kuopoa malapulapu yasiyojua hata kuoga. Shetani mwenzake shetani na kamwe hawezi kuwa
 
sikujua kama vuzi halina kazi kwenye mdahalo wa 6kwaSita
 
Kama naniii... anakipilipili sasa asiponyoa vinachomaje.
 
Kumekucha ngoja nitambae mbele kwa mbele
 
Umeona eeeee mi naona usingle mom unamsumbua.
He he he kichaka kidogo dogo kiwe kinachomachoma rahajeee sasa afu vidole mwenzake vinywele si upara

Huyu mwanamke yupo desperate sana na maisha na shida ninayoiona ni kwamba anatafuta perfect man ambae ni ndoto kumpata.

Hajatuambia huyo mwanaume alomzalisha amekwenda wapi. Usikute kapigwa du.du na mwanaume akamuacha kwa visa kama hivi.
 
Ona sasa thread zako
Mumsaidie huyu mwenzeni..ana tatizo kwenye maisha yake ya mapenzi..au labda utakuta ni mtu wa uswazi kule kwetu mbagala-mgeni nani..mumsaisie..
 
Inaweza kuwa jamaa aliyezalisha kachoka kwa mambo kama haya...mkuu embu assume ndo demu wako..24/7 anawaza viungo volivyopo kwenye perinium tu anawaza ngono tu..kuna wanaume wanabahati mbaya sana kwenye maisha..wanakutana na watu wenye personality za ajabu sana
 
Mumsaidie huyu mwenzeni..ana tatizo kwenye maisha yake ya mapenzi..au labda utakuta ni mtu wa uswazi kule kwetu mbagala-mgeni nani..mumsaisie..

jamani..! Sie wa uswazi tuna shida eeeh!, hadi kunyoa yabidi "jf alarm"...lols
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…