Vichaka Vyenu Vinakatisha Mud bwana,

Asante mkuu unanisaidia kuwaelewesha watu,wengi wanadhani nakejeli watu kumbe haya mambo yapo
 
kufuga mwembe muhim bwana ata ukiamua kushusha dred poa tu so long as unalimeintain vzr
 
Hii vita !!! Mi niko hapa kutoa first aid tu baaasi!!! No comment!!
 
He he mie ni mwanamke na hata nikiwa singe mom nitatafuta jiboro la kunitosha kisa nitalinyoa kiduku na nitalipamba tafuta bwana bibie nachoona hapa kutoka kwako hauko stable kwa mahusiano,afu dizaini kama huna mtu mmoja.

Yaaani wewe una makavu hadi basi
 
Mbona ka dizain flani unawachukia wanaume wamekufanyanini miss??
 
mtoa mada anaonekana katendwa that why kaamua kuponda wanaume wote.
 
sijawahi kuona ukiandika vitu kama hivi. ni wewe kweli?

Then labda hunijui that much nikiwa in a good mood sijipi stress na threads za kubishana the obvious...bora ni flirt tu
 
he he, nipe muhtasari tu.

Nna soda yangu hapa natizama hii movie itaishaje leo.

hahaaha muhtasari jana ilikuwa zamu ya teambamia Morg kawachanaje Excel akaibuka na picha za mitwangio kila size hadi mke wa pawa akaibuka hapa usiku wa manane lol
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…