Vichaa zaidi ya 3000 wameongezeka Israeli

Sigonella Island

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
13,484
Reaction score
40,858
Zaidi ya Wanamgambo 3000 Israel wamepata tatizo la utaahira toka vita vianze October 07, hii imetokea baada ya kudanganywa kua wanakwenda kushinda vita ndani ya siku 3 na sasa ni zaidi ya miezi miwili wanachapika huko GAZA[emoji1787][emoji1787]

BREAKING:

3,000 Israeli soldiers are facing mental health issues, and 90 soldiers have been discharged due to mental health issues since the start of the war in Gaza.
IMG_20240105_185953.jpg
IMG_20231227_225021.jpg
 
[emoji1630]Israeli Yedioth Ahronoth:

The official IOF soldiers casualty figure is 2,300; but according to people working in the field, the picture is more much darker than this [meaning the casualties are way higher].

12,500 soldiers will be recognized as disabled due to the war.
IMG_20240105_193329.jpg
 
Zaidi ya Wanamgambo 3000 Israel wamepata tatizo la utaahira toka vita vianze October 07, hii imetokea baada ya kudanganywa kua wanakwenda kushinda vita ndani ya siku 3 na sasa ni zaidi ya miezi miwili wanachapika huko GAZA[emoji1787][emoji1787]

BREAKING:

3,000 Israeli soldiers are facing mental health issues, and 90 soldiers have been discharged due to mental health issues since the start of the war in Gaza.View attachment 2862762View attachment 2862765
Hata walinzi wa Letanyahu nao wana usongo wa mawazo itabidi alindwe na Wamarekani
 
Zaidi ya Wanamgambo 3000 Israel wamepata tatizo la utaahira toka vita vianze October 07, hii imetokea baada ya kudanganywa kua wanakwenda kushinda vita ndani ya siku 3 na sasa ni zaidi ya miezi miwili wanachapika huko GAZA[emoji1787][emoji1787]

BREAKING:

3,000 Israeli soldiers are facing mental health issues, and 90 soldiers have been discharged due to mental health issues since the start of the war in Gaza.View attachment 2862762View attachment 2862765
Kule Gaza zaidi ya vichaa 21,000 wamekufa
 
waliambiwa watashinda vita ndani ya siku 3!!!kma nyoko zao
 
Zaidi ya Wanamgambo 3000 Israel wamepata tatizo la utaahira toka vita vianze October 07, hii imetokea baada ya kudanganywa kua wanakwenda kushinda vita ndani ya siku 3 na sasa ni zaidi ya miezi miwili wanachapika huko GAZA[emoji1787][emoji1787]

BREAKING:

3,000 Israeli soldiers are facing mental health issues, and 90 soldiers have been discharged due to mental health issues since the start of the war in Gaza.View attachment 2862762View attachment 2862765
laana za kuuwa watoto na wanawake
 
Naona mnafarijiana humu,unaokoteza vijihabari hata uthibitisho hakuna wewe mbio kupost,na ninahisi unajitungia mwenyewe hivyo vijihabari.

Israel taifa teule
 
Hata hizo picha anawarundika na kuwapiga picha hao zionists wakilia?Nyie ma zoombie wengine hamna uwezo wa kufikiri?
 
Waliokutananayo kwenye battle field lazima wapate matatizo yakisaikolojia,ubaya wa wanajeshi huwa wahapati the real practical,kupata uhalisia wa vita ipoje ni mpaka uingie mzigoni live ushuhudie kwa macho marafiki zako wanajeshi wanakula shaba za vichwa ndio utapata taste ya vita ipote, lakini hao mazayuni wengi ndio wameingia vitani kwa mara ya kwanza lazima wavurugwe kiakili...nakumbuka kunawanajeshi waukraine walikuwa wanalia kama watoto wadogo baada yakuingia mzigoni nakuexperience joto la mapigano
 
Back
Top Bottom