Vibweka vya mahawara

Vibweka vya mahawara

Vimada mwanzo wanakuwa na kauli za matumaini like nitamuheshimu mkeo, heshima gani wakati tunashiriki kumuibia? Kimada akishazoea nae anaanza kama mkeo anaringia qqquma hata mm ninayo. Tobaaa hapa mm nimepita kubadili msosi weye wataka kuniuzia Restaurant?

Mwanzo no string attached....mbele ya safari ni balaa
 
veeerry goood
mimi nilipewa story 1, kuwa
Jamaa katembea na mke wa mtu (na yeye ni mume wa mtu)! Mke wa huyu jamaa
mchepuka akagundua kuwa mumewe anachepuka, tena kwa mwanamke mwenye
ndoa yake, alichofanya mwanamama huyu na yeye kamfuata mume wa mwanamke -
kimada wa mume wake na kumpa full story! Na kisha kumsihi na wao bora
wachepuke tu, wakachepuka kweli! Baadae wote - pair 2 wakaingia kwenye
vurumai! Jamaa alieanza kuchukuliwa mke akajitetea kuwa wao walichepuka
ili kulipiza kisasi tu, hawana cha ziada!

Mwisho wa purukusha couple 1 iliamua kuhama mtaa!
 
kabla ya ndoa mwanamke anakuwa mtamu kweli kweli.Baadaya ndoa sifa zote nzuri za mwanamke zinakwisha.Mkiwa na watoto ndio kabisaa hali ni mbaya.unakuta mwanamke anapepeta mdomo kama makonda wa mbagala.ukishatoka kwa ofisi inabidi utafute safari ya kwenda ili urudi home usiku.sasa ukiwa na service road inabidi seme kero zote!! MWANAUME ANATAWALIWA NA ULIMI WA MWANAMKE.
 
Nlijuaga inauma kwangu tu kuibiwa mpenzi kumbe na mimi nikiibwa na mwingine na yeye anaumia?
 
kabla ya ndoa mwanamke anakuwa mtamu kweli kweli.Baadaya ndoa sifa zote nzuri za mwanamke zinakwisha.Mkiwa na watoto ndio kabisaa hali ni mbaya.unakuta mwanamke anapepeta mdomo kama makonda wa mbagala.ukishatoka kwa ofisi inabidi utafute safari ya kwenda ili urudi home usiku.sasa ukiwa na service road inabidi seme kero zote!! MWANAUME ANATAWALIWA NA ULIMI WA MWANAMKE.
Si unamwambia tu wife punguza domo
 
itakua ulikurupuka ulivyomuoa na hukumchunguza vizuri, au ulikuwa na nidhamu ya woga ili asikuache hukuwaza ya ndoani

Back
Top Bottom