Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
Nimepitia kwa karibu wanasiasa ndani ya kambi ya chama tawala cha ccm na nimebaini ya kuwa wengi wao afya zao ni mbaya na ingawaje hawako tayari kutueleza wanachoumwa kiukweli ukweli lakini dalili zaelekeza kule kwenye miwaya.............miwaya.............wengi wao wana mikanda ya jeshi usoni na minong'ono ipo kila mahali kuwa wamo kwenye mtandao mkali wa kusumbuliwa na vijirusi vya ukimwi............................mwenye taarifa zaidi na za uhakika anielemishe..........
Ninaomba kuwakilisha hoja ili majungu tuyaweke kando na ukweli ufahamike..............

majungu yawekwe pembeni?!. Kuthibitisha usemi huu wataje wenye mkanda wa jeshi na waliokufa wakatajwa kuwa wameugua mda mrefu.
Vita dhidi ya ukimwi haviwezi kuwa vinapiganiwa kwenye majukwaa tu na huku baadhi ya waathirika wakitutupia madongo ya kuwanyanyapaa waathirika wenzao kwa kudai ni kiherehere chao.........tu ndicho kimewafikisha huko..................................tuendelee kuwashinikiza viongozi wa CCM bila ya kuwataja majina yao watueleze ukweli juu ya afya zao na ndugu zao wa karibu......Haiwezekani hadi leo hakuna mwana-CCM yeyote yule aliyewahi kuugua au kufa kwa gonjwa hili hatari.........we should not inter fear with other people personal business ..........
especially our leaders
it doesn't matter if we like them or not..
Vita dhidi ya ukimwi haviwezi kuwa vinapiganiwa kwenye majukwaa tu na huku baadhi ya waathirika wakitutupia madongo ya kuwanyanyapaa waathirika wenzao kwa kudai ni kiherehere chao.........tu ndicho kimewafikisha huko..................................tuendelee kuwashinikiza viongozi wa CCM bila ya kuwataja majina yao watueleze ukweli juu ya afya zao na ndugu zao wa karibu......Haiwezekani hadi leo hakuna mwana-CCM yeyote yule aliyewahi kuugua au kufa kwa gonjwa hili hatari.........
Hapa nchini gonjwa hili laonekana ni la wanyonge tu...............................hakuna mtu yeyote yule ambaye amewahi kujitokeza na kutueleza ukweli ...........waache unafiki waje mstari wa mbele ............................aluta continue..............