Vibosile wengi wanapokufa tunaambiwa waliugua kwa muda mrefu...what is cooking | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vibosile wengi wanapokufa tunaambiwa waliugua kwa muda mrefu...what is cooking

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Rutashubanyuma, Nov 6, 2010.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Nov 6, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 419,797
  Trophy Points: 280
  Nimepitia kwa karibu wanasiasa ndani ya kambi ya chama tawala cha ccm na nimebaini ya kuwa wengi wao afya zao ni mbaya na ingawaje hawako tayari kutueleza wanachoumwa kiukweli ukweli lakini dalili zaelekeza kule kwenye miwaya.............miwaya.............wengi wao wana mikanda ya jeshi usoni na minong'ono ipo kila mahali kuwa wamo kwenye mtandao mkali wa kusumbuliwa na vijirusi vya ukimwi............................mwenye taarifa zaidi na za uhakika anielemishe..........

  Ninaomba kuwakilisha hoja ili majungu tuyaweke kando na ukweli ufahamike..............
   
 2. PgSoft2008

  PgSoft2008 JF-Expert Member

  #2
  Nov 6, 2010
  Joined: May 15, 2008
  Messages: 256
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Je huoni kama tutakuwa tunanyanyapaa??? na after all Ukimwi haupimwi kwa macho Je una data kutoka hospital?
   
 3. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #3
  Nov 6, 2010
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Sio issue, kwani mwenye ukimwi awezi kuwa kiongozi?
  huko ni kuwanyanya paa waathirika. Mi nimepima nipo poa, wewe je?
  pl'se withdraw the topic
   
 4. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #4
  Nov 7, 2010
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Tatizo cyo kuwa na ukimwi tatizo ni kwann hawataki kujisema!! mi naunga mkono hoja kuwajua cyo kuwanyanyapaa.ht jamaa mbn anao ndio mana huwa anaanguka mara kw mara.
   
 5. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #5
  Nov 7, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Guys, lets keep away from this kind of discussion! Haina manufaa kwa taifa hii. Kama tunataka kujadili habari ya ukimwi, basi tujadili namna ya kujiepusha nao, njia sahihi za matumizi ya kondom na namna nzuri ya kujitunza iwapo umeshaathirika, badala ya kujali kama nani anao na nani hana. Haitatusaidia. By the way humu JF tupo wengi tu ambao ni positive; tunapoanza kuujadili Ukimwi kwa mitizamo hasi, tunatengeneza mazingira ya kuwafanya wengine wajione wakosefu. Tujadili namna ya kuwazuia ambao hawajapata na namna ya kuwasaidia waliopata ili wapunguze msongo wa mawazo na waishi maisha marefu yenye furaha.
   
 6. Ulimate4

  Ulimate4 Member

  #6
  Nov 7, 2010
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Akuna asiejua namna ya kujiepusha na gonjwa hilo,ila tunahitaji watu kutoka na kwenda kupima na kujua afya zao kabla ya kujiepusha.lakini kumbuka kufa ni ahadi,uwe na gwenge usiwenayo utakufa siku ileile na saa ileile.kwa hiyo ni kuomba kila la heri.
   
 7. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #7
  Nov 7, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  majungu yawekwe pembeni?!. Kuthibitisha usemi huu wataje wenye mkanda wa jeshi na waliokufa wakatajwa kuwa wameugua mda mrefu.
   
 8. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #8
  Nov 7, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  upuuzi, magonjwa ya mtu wewe yamekuhusu na nini?
   
 9. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #9
  Nov 7, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 419,797
  Trophy Points: 280
  Hoja ya msingi hapa viongozi wetu hawapo mstari wa mbele na kwa dhati kupambana na ukimwi na wamekuwa wakisingizia magonjwa mengine wao au jamaa zao wa karibu wanapopatwa na vijirusi vya ukimwi.....................

  Ushahidi upo wazi......................haiwezekani tangu gonjwa hili la balaa lituangukie asiwepo hata kiongozi mmoja ndani ya CCM ambaye yupo tayari kukiri ya kuwa aliugua...na kunyanyapaa kamwe hakutakwisha mpaka viongozi wetu watakapokuwa mstari wa mbele kujitokeza na kutupasha ukweli wao wanapoona aibu basi na jamii itafuata mfano wao tu.......

  CCM kwa vile ndicho chama kilichoko madarakani ni lazima kitoe mfano wa kuwahimiza viongozi wake kujitokeza na kuelezea kiuwazi pale wanapoathirika badala ya kuishia kusema alikufa baada ya kuugua kwa muda mrefu tu..............

  Mandela hakujivunga pale mtoto wake alipokufa kwa ukimwi.............Kenneth Kaunda vilevile alikuwa mstari wa mbele kutupasha habari yalipomsibu kwa mwanae.....................hapa Tanzania ukiibua hii hoja ya viongozi kujificha na hivyo kukwamisha vita dhidi ya ukimwi utashupaliwa utoe ushahidi vinginevyo usiongelee..........kweli hivi vita tuashinda kwa kuoneana haya..........au kustahikiana.............
   
 10. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #10
  Nov 7, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Huwezi ukawalazimisha viongozi wakatangaza kuwa wanaumwa ukimwi au waliokufa kwa ukimwi tutangaze kuwa ukimwi ndio umewaua kama alivyofanya Mandela. Huo ni uhuru wa mtu binafsi labda tuweke sheria kuwa kila anayeumwa ukimwi LAZIMA ajitangaze.
   
 11. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #11
  Nov 7, 2010
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  baba w *** ,amina chi***, bibi ti**, nd here wi hav apointed prezidaa anao.
   
 12. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #12
  Nov 8, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  we should not inter fear with other people personal business ..........
  especially our leaders
  it doesn't matter if we like them or not..
   
 13. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #13
  Nov 8, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Ruta ni mtu wa majungu na fitna.

  Angalia jicho lako kabla hujaangalia la mwenzio.
   
 14. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #14
  Nov 8, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 419,797
  Trophy Points: 280
  Vita dhidi ya ukimwi haviwezi kuwa vinapiganiwa kwenye majukwaa tu na huku baadhi ya waathirika wakitutupia madongo ya kuwanyanyapaa waathirika wenzao kwa kudai ni kiherehere chao.........tu ndicho kimewafikisha huko..................................tuendelee kuwashinikiza viongozi wa CCM bila ya kuwataja majina yao watueleze ukweli juu ya afya zao na ndugu zao wa karibu......Haiwezekani hadi leo hakuna mwana-CCM yeyote yule aliyewahi kuugua au kufa kwa gonjwa hili hatari.........

  Hapa nchini gonjwa hili laonekana ni la wanyonge tu...............................hakuna mtu yeyote yule ambaye amewahi kujitokeza na kutueleza ukweli ...........waache unafiki waje mstari wa mbele ............................aluta continue..............
   
 15. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #15
  Nov 8, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280

  Na hata wakitueleza kuhusu mangojwa yao yatatusaidia vipi???
   
Loading...