Vibe Coding-

Ishubya coding ni logically organizing of instructions to direct computer, syntax tayari zipo hivyo ww Cha msingi ni kujua mpangilio tu,now coding ni rahisi kwa msaada wa AI,kwa hiyo ni Bora mtu kuwa vzuri katika system analysis na UI
Uko sahihi coz ukijua kuanalyse itakua rahisi pia kujua namna sahihi ya kuandika au kuchagua logics za algorithms zako bila kuathiri system nzima hapo baadae.

AI hufanya mambo kuwa rahisi ila si kila code inayogeneratiwa na AI inafaa kwa matumizi in a long run.
 
Lakini Wana tofauti gani
Wana utofauti mkubwa, vibe coder anafocus kwenye end result tu, so hajali chochote cha kwenye background.

Algorithm moja inaweza kuandikwa kwenye logic tofauti tofauti na kwenye Kila logic huwa kunakua na faida pamoja na hasara zake katika system husika so usipokua mzuri kuelewa hiki kipengele na ukaamua kuitegemea AI ikugeneratie codes zote then wewe ukawa unavibe nazo tu lazima upoteze.
 
Ndugu,now mtu hatari ni System Analyst and UI designer and Prompt Engineer,Cha kujitaidi ni kujua tu unacho taka lakini mambo yamekuwa simple sana
 
Exactly ndio maana unashauriwa kutumia Ai tools tofauti
 
Vibe coders😅😅... Huwa ni wazinguaji sana code hazipo organized, full viraka yani thou kwenye swala la production wako fasta sana, project unampa leo siku mbili tatu tayari iko mkononi wakati ukimpa mtu anaefuata misingi ni mwezi.
Vibe coder ukiwa na logic thinking inasaidiaa na ukiwa full nondo kuhusu Programing itakua chap tu AI ni nzur ukijua nguvu na udhaifu wake
 
Ni kweli muhimu security, performance, architecture design
 
Vibe coding ni sawa na fundi simu ambae hajasoma electronics au fundi magari wa gereji ambae hajasoma veta au DIT.
Ai ni assistant tu ukiongeza ujudi unajua kufanya development chapi mim ningechelewa kuelewa mfumo wa code bila AI coz inanipa kila details najifunza step by step..
 
Ai ni assistant tu ukiongeza ujudi unajua kufanya development chapi mim ningechelewa kuelewa mfumo wa code bila AI coz inanipa kila details najifunza step by step..
Wamezungumzia vibe coding. Sio sawa na AI. Nimetolea mfano fundi gereji kwa maana hana ujuzi wa ndani wa auotomobile engineering, huwa wanabahatisha bahatisha tu.
kujifunza code kwa AI sio sawa na vibe code, wewe unapitia misingi kwa mwalimu AI upi njia sahihi.
Vibe code hapitii hatua zote za softawre engineering. Lugha nyingine rahisi ni kama wanamziki wa bongo fleva. They don't know the core of music but they make vibe music and sell and become popular.
So wanashauri vibe code lazima afanye outsource baadhi ya issue kama security, testing, maintainability.
 
Vibe coder ukiwa na logic thinking inasaidiaa na ukiwa full nondo kuhusu Programing itakua chap tu AI ni nzur ukijua nguvu na udhaifu wake
Ukiwa nondonkwenye programming wewe sio vibe coder. Vibe ni kama mihemko ya kutumia teknolojia kuunda apps nk. Hii ni kwa wale wasio na ujuzi wa computer science nk. Kwa jinsi nilivyoelewa chambuzi mbali mbali kwenye platform kama tiktok.
 
Ndio Unaweza kutumia hata kama ni Pro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…