Leo bana katika pita pita zangu nimekutana na kibao kingine cha mchongo kama kile cha royal tour leo sasa nina kingine tena ila sijajua huenda labda wakazi wa eneo husika wanaweza kua na maana tofaut na jina hilo maana vibao vya mitaani vimekua na majina tofaut tofaut na mengine yanakua yana jenga maana tofauti kwenye vichwa vya watu